Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Linapokuja suala la dini Kagame ndiye kiongozi 'sensible' zaidi katika bara la Africa.
Sasa hivi anafikiria makanisa yaanze kulipa kodi!
Pia soma: Rwanda yafunga makanisa 4,000 na misikiti 100 iliyokiuka vigezo vya usalama
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametangaza kuwa anaweza kuanzisha kodi kwenye sadaka za kanisa ili kukabiliana na kile anachokitaja kama unyang'anyi na unyonyaji unaofanywa na baadhi ya viongozi wa kiinjili. - Tnx. Africa