Kagame you got guts mzee baba

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
"DRC haiwezi tu kutuambia tunyamaze wakati wanaongeza tatizo la usalama dhidi ya nchi yetu. Hakuna anayeweza kutuambia tunyamaze"


"Tumekuwa tukiiomba sana DRC na viongozi wake kwa muda mrefu, tumeshirikiana masuala yetu na kuwataka DRC wayashughulikie, wakakataa" - Rais wa Rwanda.
 
Wapigania matumbo Yao hao ,acha wauwane wenyewe Kwa wenyewe Kwa kupigania Mali zao wenyewe Kwa wenyewe badala waungane kuijengaa AFRIKA ..

Shenzi kbs cc watu weusii 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…