KAGARI KA FAIDA KWANGU

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Wadau tupeane uzoefu wa utumiaji wa mafuta ktk magari tunayotumia! Mimi naendesha gari aina ya Toyota Succeed(TX G Package) ina CC 1496 ya mwaka 2003. Kiukweli haka kagari nimetokea kukapenda hasa ktk ubebaji wa mizigo na matumizi ya mafuta kulingana na shughuli zangu! Ujazo wa tank la mafuta ni lita 50 huwa nasafiri nayo sana dar-dom(kama km 450 hivi), sasa nikiweka full tank dar kwenda dom nakuta nafika dom na nusu tank inabaki!! Kwa mimi naona ni nafuu sn kwangu ukichukulia mwanzoni nilikuwa natumia gx100 MarkII Grande! Ebu tupeane uzoefu wa matumizi ya mafuta hasa kwa sisi wenye vigari vidogo(baby walker type)Nimeambatisha na picha ya geji ya mafuta!
 
Tupeane uzoefu wa matumizi ya mafuta,ili iweje sasa
 
Baba yangu alipostafu, alinunua gari bovu. Akatumia wiki 2 hivi sasa alishapaki wajukuu wanajua babu yao alimiliki gari. Nipo nadunda kwa mguu na ndula zangu za 3800. Live kabisa.
 
Sasa gauge ya mafuta ni ipi hapo?
 
Baba yangu alipostafu, alinunua gari bovu. Akatumia wiki 2 hivi sasa alishapaki wajukuu wanajua babu yao alimiliki gari. Nipo nadunda kwa mguu na ndula zangu za 3800. Live kabisa.
Wastaafu huwa wanapata tabu sana asee kwenye ununuzi wa vyombo vya usafiri.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Baba yangu alipostafu, alinunua gari bovu. Akatumia wiki 2 hivi sasa alishapaki wajukuu wanajua babu yao alimiliki gari. Nipo nadunda kwa mguu na ndula zangu za 3800. Live kabisa.
We Kamongo upo mkuu.

Heshima yako Boss
 
Baba yangu alipostafu, alinunua gari bovu. Akatumia wiki 2 hivi sasa alishapaki wajukuu wanajua babu yao alimiliki gari. Nipo nadunda kwa mguu na ndula zangu za 3800. Live kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Passo cc990 highway 20-22km per litre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…