Elections 2010 Kagasheki azindua kampeini Bukoba (picha)

Elections 2010 Kagasheki azindua kampeini Bukoba (picha)

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Nimeona kwenye blog moja juu ya kahasheki kuzindua kampeini lakini kikubwa katika blog hiyo inaoneshwa uwepo wa Bw Prince Bagenda katika uzinduzi ambapo wasiwasi ni kutojua sababu za uwepo wa jamaa huyu ambaye inaeemekana kuwa .....................

gonga hapa
 
Rutunga,
Mko sahihi kabisa kuwa na mashaka ya uwepo wa Bagenda kwenye jukwaa la kagasheki. Binafsi nafahamu kwa undani urafiki ambao hivi karibuni uliingia kwenye hali ya uadui baada ya Prof. Tibaijuka kuombwa na kisha kutaka kutangaza nia kupitia jimbo la BK-Mjini. Jambo hili si kwamba lilimwewesesha kagasheki bali lilienda mbali zaidi na kujenga chuki dhidi yake na Prof na timu yake yote akiwemo Bagenda. kagasheki alikwenda mbali zaidi kuimarisha chuki hii hata baada ya Prof kuhamishia majeshi Muleba kwa Masilingi. Imethibitika kwamba kagasheki alichangia kwa mali na fedha lukuki kuhakikisha Masilingi anambwaga Prof. Na engine ya Prof; Bagenda ikalishinda hilo. Hivyo, uhusiano uliopo kati yao wote ni wa kinafki
 
3.JPG


2.JPG


one.JPG


Mbona malori ya fuso yamefanya kazi kubwa leo ya kuwaleta wana sisi m kwenye uzinduzi? mleta picha hakukumbuka kusema na habari hizi.

Haya kiama cha huyu bwana kipo 31.10.2010
 

Attachments

  • 3.JPG
    3.JPG
    24 KB · Views: 25
Back
Top Bottom