Kagera 0-2 Simba | VPL | Kaitaba Stadium - April 21, 2021

Kagera 0-2 Simba | VPL | Kaitaba Stadium - April 21, 2021

Yanga kacheza michezo 26 ana magoli 41 kafungwa goli 16

Simba kacheza michezo 23 nana magoli 54 kafungwa goli 9

Simba anahitaji mechi moja ili aongoze ligi

Mechi ya yanga ni ngumu anakutana na azam, ushindi ambao unatabiriwa kwa yanga ni sare

Simba anakutana na gwambina tarehe 24 ambayo ipo nafasi ya 12 ya 5 kutoka mwisho. Mechi hii ndio itayo m lift up mnyama kwenye nafasi yake kwa idadi ya point 58
 
So mechi ijayo mnyama anaenda kwenye nafasi yake kwa utofauti wa magoli...jumapili utopolo anapotea azam hawezi kukubali
Sio kwa tofauti ya magoli, ni kwa tofauti ya points, maana hakuna namna yoyote ambapo matokeo ya mechi yanaipa timu pointi mbili
 
Sio kwa tofauti ya magoli, ni kwa tofauti ya points, maana hakuna namna yoyote ambapo matokeo ya mechi yanaipa timu pointi mbili
Daaah kweli mkuu nashukuru kwa kunitoa tongotongo. Simba anapoint 55 nilighafilika nikajua 54

So simba ataongoza kwa point na sio idadi ya magoli
 
Ah siku ile mlimfumania al ahly kwa upuuzi wa mosimane....wee bingwa wa africa alafu unaenda kupaki basi?

Wanaume walikuwa wanigeria...gozi la ng'ombe liliwekwa chini kitu kikapigwa.
Hao ni wanaume au wanawake mbona hawapo kwenye ile orodha ya wanaume 8?
 
Hao ni wanaume au wanawake mbona awapo kwenye ile orodha ya wanaume 8?
Kaka mie na appreciate football tactics not football teams. Kama wewe unawaona wanawake hiyo ni haki yako. Kwangu mie nimejifunza how to approach a game ukiwa away from home.
 
Back
Top Bottom