Kagera: Afisa wa NIDA matatani kwa kupokea hongo kutoka kwa Raia wa Uganda ili ampatie kitambulisho cha utaifa

Kagera: Afisa wa NIDA matatani kwa kupokea hongo kutoka kwa Raia wa Uganda ili ampatie kitambulisho cha utaifa

Katika nchi zetu hizi ukiiba bilioni na kujenga nyumba Ununio hununiwi, unaonekana bingwa tena wanaokusifu ni hao hao ulio waibia yaani walipa Kodi. Sasa jichanganye uchukue rushwa ya 51,000 bila hata ya kutolea. Nakuhakikishia utaandikwa kwenye magazeti na kupakaziwa na Kama uko serikalini kazi bye bye.
Hawataishia hapo, watatumia gharama kukuandalia mashtaka na kupoteza muda wa mahakama au waingie gharama zaidi wakulishe kwenye lodge ya serikali kwa miaka mitatu.
Ukiangalia kwa undani utakuta kosa lako Ni kuchukua rushwa ndogo.
CAG Sasa hivi Hana hamu, kazi yoote Ile ya kufichua ufisadi na kutengeneza maadui, bado maadui aliotengeneza wameshika kwenye mpini.
 
Back
Top Bottom