Kagera: Ateketea kwa moto gesti

“Marehemu alikuwa ni kati ya watu watano ambao walinusurika kifo baada ya kujiokoa na moto huo.”

Kwa hiyo ina maana moto aliufaiti lakini alipopigwa panga la mbavu na mwemye mume ndipo alipokufa, got it.

Nimesoma mara 2 hapo..
 
Dah pole yake.

Kafa kifo cha mateso sana , moto? Nikiunguaga tu na pasi inauma vile au ukanyage bahati mbaya kimkaa cha moto shughuli unaipata.

Apumzike kwa amani.
Moto kabla yakukuunguza tayari utakua umepoteza fahamu kwasababu unamaliza oxygen yote unapowaka ndani ya nyumba.
 
Dah pole yake.

Kafa kifo cha mateso sana , moto? Nikiunguaga tu na pasi inauma vile au ukanyage bahati mbaya kimkaa cha moto shughuli unaipata.

Apumzike kwa amani.
Wengi wanaokufa kwa moto/kuungua... Carbon Monoxide inawaondoa kabla hawajateketea
 
unahis neema hakuwapa nini majamaa maana moto kila siku duuuuu we mpelekee moto peleka moto
 
ilikuaga investment ya mzee wangu hii.

Akapata stroke akafariki baada ya kusikia mtu amekufa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…