KERO Kagera: Changamoto za Wafanyakazi wa Hospitali ya Mugana kuhusu NSSF na Mikataba

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Huko mkoani Kagera, katika Hospitali ya Jimbo Katoliki ya Mugana, wafanyakazi wa Mission Sector wanakutana na changamoto kubwa.

Baadhi ya stahiki zao, ikiwemo michango ya NSSF, hazipelekwi ingawa asilimia fulani inakatwa kutoka kwenye mshahara wao kwa ajili ya NSSF.

Aidha, mikataba yao ni ya muda mfupi, mara nyingi ya miezi michache.

Tunahitaji ujumbe huu ufike kwa serikali na Kanisa Katoliki kama wasimamizi wa taasisi hizi ili kutatua changamoto hizi.

IMG_0850.jpeg
 
Andiko zuri! tatizo hilo hapo ni sugu!
1746349343406.png
 
Back
Top Bottom