Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba ile wiki ya Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA yatakayofanyika Dunia nzima , kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania pamoja na Sheria mbovu na Duni sana za Uchaguzi zilizosainiwa na Rais Samia , huku akijua kwamba Sheria hizo ni Hatarishi na zinapingwa kila Mahali , hata hivyo akawadharau Wanachi ( Madaraka ya kulevya ) Yamekamilika .
Baadhi ya Wadau na viongozi wa Chadema Tayari wameanza kusogea kwenye Eneo la Tukio , akiwemo Mwakilishi wa Watanzania Mdude Nyagali
Taarifa zinadokeza kwamba Tayari Mwamba Kabisa Freeman Mbowe kishafika Bukoba Mjini .
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi .
========
Rasmi : Mwamba ameingia Bukoba na kupokelewa kwa Bashasha kubwa mno ! Hakika huyu mtu ana karama ya kupendwa !