Kagera: Maandalizi ya Wiki ya Maandamano ya Amani yakamilika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba ile wiki ya Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA yatakayofanyika Dunia nzima , kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania pamoja na Sheria mbovu na Duni sana za Uchaguzi zilizosainiwa na Rais Samia , huku akijua kwamba Sheria hizo ni Hatarishi na zinapingwa kila Mahali , hata hivyo akawadharau Wanachi ( Madaraka ya kulevya ) Yamekamilika .

Baadhi ya Wadau na viongozi wa Chadema Tayari wameanza kusogea kwenye Eneo la Tukio , akiwemo Mwakilishi wa Watanzania Mdude Nyagali



Taarifa zinadokeza kwamba Tayari Mwamba Kabisa Freeman Mbowe kishafika Bukoba Mjini .

Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi .
========

Rasmi : Mwamba ameingia Bukoba na kupokelewa kwa Bashasha kubwa mno ! Hakika huyu mtu ana karama ya kupendwa !

 
Pinga ugumu wa maisha kwa kufanya kazi siyo kwa kugawana ruzuku za covid 19 ili kurahisisha maisha.
 
Ahsante kwa taarifa mshikamano jogging
 
Wahaya msiniangushe jitokeze kwa wingi mtetee maslahi ya nchi yetu..katiba, Kikokotoo, sheria mbovu za uchaguzi etc etc
 
hii kazi ni taaluma ndungu zango, lakini pia inafaa kufanyika kisayansi zaidi kama experiment maabara hupaswi kukosea kuanzia vifaa vinavyo takiwa.....

lakini hivi kanyaga twende bora liende, na eti front line ndio hizo first class brain kwenye picha, ati kama ndio miongoni mwa vifaa, dah 🀣
 
Sasa unalia nini ?
 
nalia kwa uchungu sana, mistakes na blunders za wazi kabisa za kisayansi kwenye siasa mnazozifanya kwa makusudi kabisa in a political scene πŸ’
Wewe na wenzio wa ccm , kwanini mlie kwa makosa ya Chadema ?
 
Wewe na wenzio wa ccm , kwanini mlie kwa makosa ya Chadema ?
kwasababu ni majirani ambao mistakes zao zinatia huruma mno, na kwakweli inasikitisha sana kuona hamna maono ya mbali, politically speaking πŸ’
 
Chadema iendelee kuwa chini ya mbowe ili nyumbu wasije kustuka,jasusi mbowe anaifanya vizuri kazi ya dola kutuliza nyumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…