BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Ni agizo la Hakimu wa Mahakama ya Wilaya Muleba mkoani Kagera dhidi ya Stephen Karugendo, ambaye alishtakiwa kwa kosa la kukusanya Tsh. 8,974,125 ambazo ni mapato ya Halmashauri na kutoziweka Benki kinyume na Sheria.
Mshtakiwa amebainika kukiuka Kifungu cha 29()2(c) cha Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa Sura ya 290 Mapitia ya 2022 pamoja na Kutotii Amri na Wajibu Halali wa Kisheria chini ya Kifungu cha 123 cha Kanuni za Adhabu Sura ya 16.
Mahakama ilimhukumu kwenda Jela miezi 6 lakini Wakili wa Mshtakiwa ameomba Mshtakiwa apewe adhabu ya kurejesha Fedha hizo Serikalini ndani ya kipindi cha miezi 6.