DOKEZO Kagera: Mwanafunzi wa Form 2 abakwa na mwalimu aliyekuwa anamfundisha tuition

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kubakwa?! Hili neno hutumika pasipo mukhtadha wake, kubaka ni kutumia nguvu kulazimisha hilo tendo. Mpaka hilo tendo lifanyike katika urari wake ni shughuli pevu kubandua mapaja ya mwanamke aliyebana na hataki kupanua kwa ridhaa yake aingiliwe. Huwa kuna makubaliano, sema kwa kuwa kiitifaki mwalimu ni mlezi huwa inachukuliwa amebaka hata kama binti alikubali mwenyewe baada ya kutongozwa. Kubakwa kunaendana na vitisho vingi, vurugu na kelele za kuomba msaada kama mazingira yataruhusu kelele zipigwe. Kubaka ni dhana pana yenye maana nyingi
 
Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution.

Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo.

Kwa sasa mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana anatamba.

Atuhumiwa aliyefanya kitendo hicho anafahamika kwa jina moja Jovine

============

Mama wa mtoto huyo ambaye anatambulika kwa jina la Kokwenda, anaelezea ilivyokuwa:

“Ni kweli tukio hilo lilitokea tarehe 2 Januari 2023, alikuwa akijifunza masomo ya ziada tangu tarehe 13 Desemba 2022.
“Aliyekuwa akimfundisha anatambulika kwa jina la Jovin, ni mtu mzima flani hivi, siku ya tukio baada ya huyo baba kumfanyia unyama binti akarudi nyumbani akiwa analia.

“Nikaenda kuripoti Polisi, wakatuelekeza kwenda Hospitali baada ya kutupatia PF3, tukaenda kufanya vipimo, tukapata majibu, kwa kuwa ilikuwa jioni ikabidi tusubiri kesho yake ndio tukapeleka majibu Kituo cha Polisi cha Mutwe ambapo ndipo eneo tunaloishi.

“Polisi wakaanza kumtafuta mtuhumiwa, alikamatwa kama baada ya siku tatu hivi, ilikuwa Ijumaa, akawekwa ndani kwa siku mbili akatolewa kwa dhamana.

“Baadaye mtuhumiwa alipelekwa katika Kituo cha Polisi cha Muleba, nilikutana na mpelelezi akaniambia ataniita kunijulisha kinachoendelea, walisema hii kesi inasimamia na Jamhuri hivyo watatuita tutakapohitajika.

“Sijui kinachoendelea kwa kuwa sijaambiwa chochote.

“Mwanafunzi hakuwenda shule kwa wiki kadhaa tangu kutokea kwa tukio hilo, baadaye mwalimu Mkuu akaniambia kutokana na kilichotokea anashauri tumhamishe shule mtoto kwa kuwa inaweza kumuathiri kisaikolojia.”

Kuhusu mtuhumiwa, mama wa mwathirika anasema "Mtuhumiwa alinitafuta mwanzoni ili tuyamalize lakini sikumsikiliza, tangu alipokamatwa hakuwahi kunitafuta tena."
Huyo mwanafunzi alikuwa anafundishwa peke yake hiyo tuition? Na ni katika azingira gani huyo mwalimu aliyatumia kumbaka huyo mwanafunzi?

Naomba majibu tafadhali.
 
Comments za hii thread zinasikitisha na kufikirisha sana

Mnaambiwa mtoto wa watu kabakwa , comments nyingi watu wanazungumzia watoto wa kike kuharibiwa mapema

1. Je ni sahihi watoto wa kike kuharibiwa mapema ?
2.Je hakuna dada zenu au wenye watoto wa kike humu ndani ?
3.Ni jamii ya aina gani tunatengeneza kwa hizi fikra ninazo ziona kwenye comments zenu ?
4.Inatafakarisha sana - maana watu hawakemei wala hata kuonesha soni ya kusikitishwa

Wengi wetu ni kama vile ubakaji ni kitu cha kawaida kwakuwa tu watoto wa kike wanaanzishwa haya mambo ya ngono mapema ...... tukemee hivi vitu maana bado tunazaa au hata kama sio sisi ndugu zetu bado wanazaa jamani

Haya mambo sikieni kwa jirani tu asijekuwa dada ako au mtoto wako and God forbid siku hizi kuna watu wanabaka hadi wanaume so unaweza kua wewe pia

Chukua hatua na kemea vitendo vya ubakaji
 
Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution.

Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo.

Kwa sasa mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana anatamba.

Atuhumiwa aliyefanya kitendo hicho anafahamika kwa jina moja Jovine

============

Mama wa mtoto huyo ambaye anatambulika kwa jina la Kokwenda, anaelezea ilivyokuwa:

“Ni kweli tukio hilo lilitokea tarehe 2 Januari 2023, alikuwa akijifunza masomo ya ziada tangu tarehe 13 Desemba 2022.
“Aliyekuwa akimfundisha anatambulika kwa jina la Jovin, ni mtu mzima flani hivi, siku ya tukio baada ya huyo baba kumfanyia unyama binti akarudi nyumbani akiwa analia.

“Nikaenda kuripoti Polisi, wakatuelekeza kwenda Hospitali baada ya kutupatia PF3, tukaenda kufanya vipimo, tukapata majibu, kwa kuwa ilikuwa jioni ikabidi tusubiri kesho yake ndio tukapeleka majibu Kituo cha Polisi cha Mutwe ambapo ndipo eneo tunaloishi.

“Polisi wakaanza kumtafuta mtuhumiwa, alikamatwa kama baada ya siku tatu hivi, ilikuwa Ijumaa, akawekwa ndani kwa siku mbili akatolewa kwa dhamana.

“Baadaye mtuhumiwa alipelekwa katika Kituo cha Polisi cha Muleba, nilikutana na mpelelezi akaniambia ataniita kunijulisha kinachoendelea, walisema hii kesi inasimamia na Jamhuri hivyo watatuita tutakapohitajika.

“Sijui kinachoendelea kwa kuwa sijaambiwa chochote.

“Mwanafunzi hakuwenda shule kwa wiki kadhaa tangu kutokea kwa tukio hilo, baadaye mwalimu Mkuu akaniambia kutokana na kilichotokea anashauri tumhamishe shule mtoto kwa kuwa inaweza kumuathiri kisaikolojia.”

Kuhusu mtuhumiwa, mama wa mwathirika anasema "Mtuhumiwa alinitafuta mwanzoni ili tuyamalize lakini sikumsikiliza, tangu alipokamatwa hakuwahi kunitafuta tena."
Kagera again.....
 
Mwanafunzi wa kidato cha pili analia??
Mbona hawajasema alirudi na damu kua bikra imevunjwa???
Hapo kuna michongo tu
 
Back
Top Bottom