Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]........Nenda wewe katoe ahadi
Sijasikia ahadi zozote kama ilivyo kwa wapinzani wa Simba , Dodoma jiji na Biashara United .
Au yanga sio timu kubwa ndio maana hamna ahadi zq mamilioni kwa vijana wao?!
Huyo Bashite mwizi tu [emoji28]
Kwa utafiti wangu binafsi nimegundua hizo ahadi zinavuruga mpira sababu wanacheza kama wanataka kufa ili wapate ushindi.Sijasikia ahadi zozote kama ilivyo kwa wapinzani wa Simba , Dodoma jiji na Biashara United .
Au yanga sio timu kubwa ndio maana hamna ahadi zq mamilioni kwa vijana wao?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zuio la kijinga kweliKagera walikuwa na mkuu was mkoa mwanajeshi ambaye msimu uliopita aliwazuiwa wanakagera kuishangilia Simba ila yanga walipoenda kucheza hakutoa kauli yoyote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanwambie Tu tena awaahidi maana mechi hata moja na Yanga hawajacheza
😂😂😂Ngoja waje kutoa povuSijasikia ahadi zozote kama ilivyo kwa wapinzani wa Simba , Dodoma jiji na Biashara United .
Au yanga sio timu kubwa ndio maana hamna ahadi zq mamilioni kwa vijana wao?!
Kagera sugar na geita ni timu za matajiri hawana shida na pesaSijasikia ahadi zozote kama ilivyo kwa wapinzani wa Simba , Dodoma jiji na Biashara United .
Au yanga sio timu kubwa ndio maana hamna ahadi zq mamilioni kwa vijana wao?!
[emoji849] matajiri ?!Kagera sugar na geita ni timu za matajiri hawana shida na pesa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app