Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Hizo pesa wanalipa UTO wanatafuta kiongozi maarefu ambaye ni Yanga lialia wanapitia hapo.Sijasikia ahadi zozote kama ilivyo kwa wapinzani wa Simba , Dodoma jiji na Biashara United .
Au yanga sio timu kubwa ndio maana hamna ahadi zq mamilioni kwa vijana wao?!
African Sports ya TangaUto wanatumia fedha kucheza mechi zote za Simba.
Kampeni hii ingefanikiwa zaidi iwapo zile timu zenye chembe za uyanga zingekuwa Ligi kuu.
Kwa bahati mbaya watoto wengi wa Yanga walishashuka Daraja na wengine bado hawajafanikiwa kufika ligi kuu mfano Toto Africa, Mbao, Singida UTD, Mawenzi Market/ DTB
Hao wanasiasa (RC na Mbunge) ni mashabiki wa Uto....ndio maana waliahidi hela ili Simba ifungwe.Sijasikia ahadi zozote kama ilivyo kwa wapinzani wa Simba , Dodoma jiji na Biashara United .
Au yanga sio timu kubwa ndio maana hamna ahadi zq mamilioni kwa vijana wao?!
Najua kuwa RC wa Tanga ( zamani RC Mara ) ni mwana Simba SC tena lia lia kabisa ila Yeye hutoa Ahadi kwa Timu ya Mkoa wake Kuzifunga Yanga SC na Simba SC na siyo Yanga SC tu.pekee ambayo ni Hasimu wake. RC Malima ni Mwanamichezo hasa na siyo Mshamba na Mpuuzi kama RC wa sasa Mara ( Musoma ) Ally Hapi na Yule Mbunge Mnafiki Antony Mavunde wa Dodoma Mjini.RC Adam Malima alipokuwa Mara aliipenda na kuipa sapoti sana Biashara United ya Mara. Na inafanya vizuri