Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, ameishukuru serikali ya awamu ya Sita chini inayoongozwa na Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania* kwa kusogeza huduma muhimu za kijamii kwa wananchi wa Mazinga ambao kwa kiasi kikubwa wanajishughulisha na uvuvi wa samaki na dagaaa.
Ndugu Faris ameeleza ya kwamba upatikanaji wa shule mpya ya Sekondari Mazinga, Meli ya kuhudumia wagonjwa, Zahanati na ujenzi wa madaraja mawili ni kielelezo tosha cha ufanisi wa serikali katika kuhudumia wananchi wake.
Haya yamejiri kiwa ni siku ya 10 ya Kampeni maalum ya SAMIA NEW VOTERS CAMPAIGN [SANEVO] inayoendelea Mkoani Kagera, ambayo itadumu kwa siku 16 na kuzifikia wilaya zote 08 za kichama mkoani Kagera.
Pia soma ACT: Viongozi wetu waliozuiwa kuingia Angola wamerejea Nchini, tunasikitishwa na ukimya wa Serikali ya Tanzania
_KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE