Haya majitu ya ccm ni majinga majinga sn yalikuja hapa biharamulo kwny chuo cha maendeleo yanaongea pumba tu ccm mna zaid ya miaka 60 madarakan achen maendeleo mnayoyasema watz wnyw wayaone mna tume iliyojaa makada wa ccm mna polisi iliyojaa maccm eti bdo hamjiamin kbs uzuri wapnzan wenu chadema mnasemaga chama chao hakna mvuto na kmekufa sa mnahangaikia nn mnapotezea muda wanafunzi.