Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Kagera Sugar na Yanga Sports Club utakaochezwa saa 10 jioni Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Huu ni mchezo wa namba 46 (kama sijakosea) wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi.

Kagera Sugar akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sports Club.

Karibuni Dimbani
 
Mapambano yanaendelea [emoji109][emoji109][emoji109]
 
Kuna mvua ya hatari leo inaweza isipigwe mbungi au watu wakacheza kama kambale
 
Hii mechi kumbe inachezwa Mwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…