Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvua tena? Advantage vyura!!!Kuna mvua mpaka hivi Sasa yaan
Punguza kulia lia mwanawaneMuamala ushasoma kwa mwamuzi?
Huu ndiyo umuhimu wa kuwa na kikosi kipana sasa. Wanaoanza, na wale waliopo benchi! Tofauti yao ni mdogo tu.
Unashangaa nini tena! Huyo ni mchezaji wetu wa Under 20. Tumempandisha msimu huu senior team. Anaitwa Clement Mzinza! Ni mshambuliaji hatari kuliko hata yule Kibu Denis wenu.Clement?
Kibu Denis mkuu usiwe unamtaja ananitia hasira sana huyo jamaaUnashangaa nini tena! Huyo ni mchezaji wetu wa Under 20. Tumempandisha msimu huu senior team. Anaitwa Clement Mzinza! Ni mshambuliaji hatari kuliko hata yule Kibu Denis wenu.
Usijari mkuu kwenye hii mechi tutawashuhudia wengi kama yeyeKibu Denis mkuu usiwe unamtaja ananitia hasira sana huyo jamaa