Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Sawa nyani alista.... hamna shidaVipi na wew unatamani kuitwa mbwa?
Basi mbwa kiweriweri umekaa wapi????
Cry moreeee
PUNGUZA wivu kwenye mambo madogo madogo mwenzako kuitwa mbwa ndo jambo la kutamani sana mpka ubweke kila mtu ajue?Sawa nyani alista.... hamna shida
Huyo Gazwat kuna mechi moja aliishia kutoa updates dakika ya 11 SBS kuwatangulia[emoji23][emoji23]Badala ya kutoa updates, wewe uko busy na tender ya Azam! Mkurugenzi, ndiyo kusema mihogo imekulewesha, au!!
Kuna watu humu tuko porini tunatafita hela, ili tukatumie mjini. Hivyo tunapata updates kupitia huu uzi. Hebu fanya kama unatembelea nyota za hawa Makolo wawili; Scars na Ghazwat. Mechi za timu yao huwa wanakuwa active sana.
anazidiwa na Clement kacheza mechi mojaHana goli
Ulikuwa unataka kusemaje?
We mbwa simama hapo ulipo kaa pana hogo la jang'ombe chiniKagera wasipochomoa mniite[emoji240]🦺[emoji240]🦺[emoji240]🦺[emoji240]🦺 nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]🪑
Sawa mkuuBahati Mbaya upo uwezekano hujawahi kucheza mchezo wowote unao tumia nguvu.
Yanga wamecheza mechi ngumu kule Tunis, Bahati mbaya siku ya pili baada ya mechi awakurudi uwanjani Ili wapate Recovery Sasa mwili una vunda mbaya zaidi wanapanda ndege zaidi ya massa 72 hawajafanya recovery.
Mwili unakua umevilia damu kutokana na kuufanyisha kazi zaidi ya kawaida Kwa Siku Moja na siku 4 zinazo fuatia mwili umelalatu.
Kitu kibaya Tena siku Yanga wanayo Kuja kucheza, mvua imenyesha Kwaiyo mwili baada ya kuanza na kazi ndogo, unaanza kupambana na uwanja wenye maji na matope Kwa vyovyote vile wachezaji kisayansi walikua wako hovyo sana.
Kwenye Mechi za mazingira haya upo uwezekano wa misuli mingi midogo kwenye miili ya wachezaji kuchanika.
Yanga wanahitaji wafanye mazoezi mepesi Kwa Siku tatu mfululizo Ili wakae sawa.
Yap tena nafasi alizozipata Mayele ingekuwa ni Clement, zote angeokota mpira wavunianazidiwa na Clement kacheza mechi moja
Chukua magoli ya msimu huu ya John Bocco , changanya na ya Kibu Denis alafu katiakatia na magoli ya Okwa bado hawamfikii Clement Mzinza [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]....!!!!!Yap tena nafasi alizozipata Mayele ingekuwa ni Clement, zote angeokota mpira wavuni
Dogo kaanza vizuri ila sio wa kumpa guarantee sanaChukua magoli ya msimu huu ya John Bocco , changanya na ya Kibu Denis alafu katiakatia na magoli ya Okwa bado hawamfikii Clement Mzinza [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]....!!!!!
Hii nayo ni aina nyingine ya aibu
Ukweli ambao Makolokolo hawataki usemwe.Yaan Yanga kacheza mechi chache kuliko wote alafu bado anaongoza ligi
Yaani hujui kuwa Kirumba, Mkwakwani, Mandela, Abeid, Mwinyi, Jamhuri, viko chini ya umiliki haramu?Basi imefanya hivyo sehemu nyingi maana nilijua ni Mbeya tu kumbe hadi huko kote wamepita?
Ndo ujiulize huyo jamaa kaanza kushabikia mpira lini....?hahahahahahaaYaani hujui kuwa Kirumba, Mkwakwani, Mandela, Abeid, Mwinyi, Jamhuri, viko chini ya umiliki haramu?
Hahahahaa....we jamaa umeanza kushabikia mpira lini..? Yani kama hata ilo hulijui..?Basi imefanya hivyo sehemu nyingi maana nilijua ni Mbeya tu kumbe hadi huko kote wamepita?
Uchovu wa safari ndefu bila ya kupata mapumziko.Na leo mbona hamjafunga mabao mengi? Si mlikua mnatushangaa jana yani Mmehangaika sana leo. Au ndo mnasingizia mvua mbona kagera waliposses mpira na mvua yote hyo
Sasa maswala ya umiliki wa uwanja yana uhusiano gani na ushabiki wa mpira?Ndo ujiulize huyo jamaa kaanza kushabikia mpira lini....?hahahahahahaa
Sasa tatizo hapo liko wapi?Hahahahaa....we jamaa umeanza kushabikia mpira lini..? Yani kama hata ilo hulijui..?