Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Badala ya kutoa updates, wewe uko busy na tender ya Azam! Mkurugenzi, ndiyo kusema mihogo imekulewesha, au!!

Kuna watu humu tuko porini tunatafita hela, ili tukatumie mjini. Hivyo tunapata updates kupitia huu uzi. Hebu fanya kama unatembelea nyota za hawa Makolo wawili; Scars na Ghazwat. Mechi za timu yao huwa wanakuwa active sana.
Huyo Gazwat kuna mechi moja aliishia kutoa updates dakika ya 11 SBS kuwatangulia[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makolo wamekula kitasa leo
 

Attachments

  • _K.jpeg
    _K.jpeg
    353.1 KB · Views: 3
Bahati Mbaya upo uwezekano hujawahi kucheza mchezo wowote unao tumia nguvu.
Yanga wamecheza mechi ngumu kule Tunis, Bahati mbaya siku ya pili baada ya mechi awakurudi uwanjani Ili wapate Recovery Sasa mwili una vunda mbaya zaidi wanapanda ndege zaidi ya massa 72 hawajafanya recovery.
Mwili unakua umevilia damu kutokana na kuufanyisha kazi zaidi ya kawaida Kwa Siku Moja na siku 4 zinazo fuatia mwili umelalatu.
Kitu kibaya Tena siku Yanga wanayo Kuja kucheza, mvua imenyesha Kwaiyo mwili baada ya kuanza na kazi ndogo, unaanza kupambana na uwanja wenye maji na matope Kwa vyovyote vile wachezaji kisayansi walikua wako hovyo sana.
Kwenye Mechi za mazingira haya upo uwezekano wa misuli mingi midogo kwenye miili ya wachezaji kuchanika.
Yanga wanahitaji wafanye mazoezi mepesi Kwa Siku tatu mfululizo Ili wakae sawa.
Sawa mkuu
 
Yap tena nafasi alizozipata Mayele ingekuwa ni Clement, zote angeokota mpira wavuni
Chukua magoli ya msimu huu ya John Bocco , changanya na ya Kibu Denis alafu katiakatia na magoli ya Okwa bado hawamfikii Clement Mzinza [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]....!!!!!
Hii nayo ni aina nyingine ya aibu
 
Wahuni wa TieFueFu inazikumbusha timu za Simba na Yanga zinazoshiriki mashindano ya "CUF" hakutakuwepo na kuhairishwa kwa mechi zao za ligi iwapo mechi inayofuata itakuwa imepishana kwa siku 2, siku ya 3 mechi ya ligi lazima ichezwe hata kama timu imecheza mechi nje ya Bongo.

Ndio maana timu zimeruhusiwa kusajili wachezaji 30, ukiona shida nenda nje ya nchi na wachezaji 18, wachezaji 12 wabakize Bongo .
 
Chukua magoli ya msimu huu ya John Bocco , changanya na ya Kibu Denis alafu katiakatia na magoli ya Okwa bado hawamfikii Clement Mzinza [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]....!!!!!
Hii nayo ni aina nyingine ya aibu
Dogo kaanza vizuri ila sio wa kumpa guarantee sana

Siku ya mwananchi na Makambo alikuja kwa ujio huo huo na kama kawaida yenu, amira kidogo tu lakini mkavimba nusu mpasuke

Leo hii hamtaki hata kuongelea kuhusu Makambo

Tulieni bado mnasafari ndefu ya kujitapa kwa kiwango cha huyo dogo, ukiniambia kiwango kwenye mechi ya leo alichokionesha siwezi kukubishia.
 
Na leo mbona hamjafunga mabao mengi? Si mlikua mnatushangaa jana yani Mmehangaika sana leo. Au ndo mnasingizia mvua mbona kagera waliposses mpira na mvua yote hyo
Uchovu wa safari ndefu bila ya kupata mapumziko.
 
Back
Top Bottom