Mi nilijua vinamilikiwa kihalaliYaani hujui kuwa Kirumba, Mkwakwani, Mandela, Abeid, Mwinyi, Jamhuri, viko chini ya umiliki haramu?
Kagera wasipochomoa mniite[emoji240]🦺[emoji240]🦺[emoji240]🦺[emoji240]🦺 nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]🪑
Ndo maana siku hizi nachagua watu wa kujadili nao soka.Ndo ujiulize huyo jamaa kaanza kushabikia mpira lini....?hahahahahahaa
Sawa Mkuu.Mi nilijua vinamilikiwa kihalali
Kwamba mpira unachezwa kwa sehemu ganiSasa maswala ya umiliki wa uwanja yana uhusiano gani na ushabiki wa mpira?
Huwezi kujua tatizo...sababu umeanza shabikia mpira wakati barbra akiwa C.E.O wa simba....hahahahahahaaaSasa tatizo hapo liko wapi?
Hiki ulicho kiandika kina relate vipi na mjadala uliouvamia katikati niliokuwa najadiliana na wadau wengine?Kwamba mpira unachezwa kwa sehemu gani
Nimekuambia nipe sababu za wewe kusema hivyoHuwezi kujua tatizo...sababu umeanza shabikia mpira wakati barbra akiwa C.E.O wa simba....hahahahahahaaa
Ndo hilo sasa...unasemaje sasa we kuziUnalingine zaidi ya hilo?
Kwa hiyo hoja huna?Ndo hilo sasa...unasemaje sasa we kuzi
Kama kweli wewe ni shabiki wa klabu za hapa bongo na unafuatilia soka la bongo kama unavyojinasibu kabisa huwezi kutojua fact ndogo kama ile ya kwamba viwanja vingi vya mikoani sio vya serikali bali vinamilikiwa na chama(ccm)Kwa hiyo hoja huna?
Unaelewa ulichokiandika kina pingana na mjadala uliouvamia katikati?Kama kweli wewe ni shabiki wa klabu za hapa bongo na unafuatilia soka la bongo kama unavyojinasibu kabisa huwezi kutojua fact ndogo kama ile ya kwamba viwanja vingi vya mikoani sio vya serikali bali vinamilikiwa na chama(ccm)
U-boya wako ulianzia hapo...acha kujifanya mjuaji u litle dump ass niqqaBasi imefanya hivyo sehemu nyingi maana nilijua ni Mbeya tu kumbe hadi huko kote wamepita?
Wewe ni mpumbavu unajua niliandika hivyo baada ya yeye kusema nini kwenye post yake ya kwanza nilio mquote?U-boya wako ulianzia hapo...acha kujifanya mjuaji u litle dump ass niqqa
Wewe ni mpumbavu unajua niliandika hivyo baada ya yeye kusema nini kwenye post yake ya kwanza nilio mquote?
Huwa sipendi kufanya mijadala na watoto mnao
Ngoja nikukaushie tuu...mana naona nimeshakushika pakunyea umeanza kutoa milio dogo.Wewe ni mpumbavu unajua niliandika hivyo baada ya yeye kusema nini kwenye post yake ya kwanza nilio mquote?
Huwa sipendi kufanya mijadala na watoto mnao poop kwenye diapers
Mna kazi mnaobishana na washangiliaji. Yeye anaamini timu zote duniani zina viwanja isipokuwa za Tanzania. Hajui hata Inter na AC wanachangia uwanja wa manispaa.Nimekuambia nipe sababu za wewe kusema hivyo
Usijichekeshe chekeshe na kuongea kipambe kama shangingi
Hakuna kitu kama hicho nimewahi kufanya..!Huyo Gazwat kuna mechi moja aliishia kutoa updates dakika ya 11 SBS kuwatangulia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app