Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Huwezi kujua tatizo...sababu umeanza shabikia mpira wakati barbra akiwa C.E.O wa simba....hahahahahahaaa
Nimekuambia nipe sababu za wewe kusema hivyo

Usijichekeshe chekeshe na kuongea kipambe kama shangingi
 
Kama kweli wewe ni shabiki wa klabu za hapa bongo na unafuatilia soka la bongo kama unavyojinasibu kabisa huwezi kutojua fact ndogo kama ile ya kwamba viwanja vingi vya mikoani sio vya serikali bali vinamilikiwa na chama(ccm)
Unaelewa ulichokiandika kina pingana na mjadala uliouvamia katikati?

Sistaajabu CCM kumiliki hivyo viwanja

Mimi nastaajabu habari ya kwamba CCM inajimilikisha hivyo viwanja illegal

Ulitakiwa ulijue hili mapema kabla ya kuanza kuvamia mada katikati na kejeli zako

Na bado hata kama nisingejua hilo, bado halina influence yeyote ya kumfanya mtu kutojua soka

So your arguments is still vague
 
U-boya wako ulianzia hapo...acha kujifanya mjuaji u litle dump ass niqqa
Wewe ni mpumbavu unajua niliandika hivyo baada ya yeye kusema nini kwenye post yake ya kwanza nilio mquote?

Huwa sipendi kufanya mijadala na watoto mnao poop kwenye diapers
 
Wewe ni mpumbavu unajua niliandika hivyo baada ya yeye kusema nini kwenye post yake ya kwanza nilio mquote?

Huwa sipendi kufanya mijadala na watoto mnao

Wewe ni mpumbavu unajua niliandika hivyo baada ya yeye kusema nini kwenye post yake ya kwanza nilio mquote?

Huwa sipendi kufanya mijadala na watoto mnao poop kwenye diapers
Ngoja nikukaushie tuu...mana naona nimeshakushika pakunyea umeanza kutoa milio dogo.
 
Nimekuambia nipe sababu za wewe kusema hivyo

Usijichekeshe chekeshe na kuongea kipambe kama shangingi
Mna kazi mnaobishana na washangiliaji. Yeye anaamini timu zote duniani zina viwanja isipokuwa za Tanzania. Hajui hata Inter na AC wanachangia uwanja wa manispaa.
 
Back
Top Bottom