Simba timu ya ovyo sana, timu ni Yanga tuKwanza ieleweke Simba ndo timu pekee ilioiletea Tanzania sifa Africa msimu baada ya kufika robo fainali ya klabu bingwa Africa.
Jana Kagera sugar waliobahatika kuifunga Simba goli 2-1 pale kaitaba lakini Cha ajabu Ni kuandika bango la kashfa
Ikumbukwe Kagera Ni timu ndogo na wala sio wapinzani wa Simba na pia wala sio watani wa jadi.
Mnatakiwa kujua nafasi yenu sio kuandika mapango ya kuichafua Simba
Simba haikuenda FIFA Bali ililalamika kwa TFF baada ya Kagera kuchezesha mchezaji Mbaraka YussufView attachment 1077301
Mkuu unataka tukuwekee clips za Manara hapa?Simba haikwenda FIFA kukata rufaa Bali ililalamika kwa TFF
Kweli kabisa aisee.Simba timu ya ovyo sana, timu ni Yanga tu
Kwanza ieleweke Simba ndo timu pekee ilioiletea Tanzania sifa Africa msimu baada ya kufika robo fainali ya klabu bingwa Africa.
Jana Kagera sugar waliobahatika kuifunga Simba goli 2-1 pale kaitaba lakini Cha ajabu Ni kuandika bango la kashfa
Ikumbukwe Kagera Ni timu ndogo na wala sio wapinzani wa Simba na pia wala sio watani wa jadi.
Mnatakiwa kujua nafasi yenu sio kuandika mapango ya kuichafua Simba
Simba haikuenda FIFA Bali ililalamika kwa TFF baada ya Kagera kuchezesha mchezaji Mbaraka YussufView attachment 1077301
Naona unabishana na redio mkuu!!!Simba haikwenda FIFA kukata rufaa Bali ililalamika kwa TFF
Muwekee naona yupo hapa kujibaraguza na kichapoMkuu unataka tukuwekee clips za Manara hapa?