brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Kwanza ieleweke Simba ndo timu pekee ilioiletea Tanzania sifa Africa msimu baada ya kufika robo fainali ya klabu bingwa Africa.
Jana Kagera sugar waliobahatika kuifunga Simba goli 2-1 pale kaitaba lakini Cha ajabu Ni kuandika bango la kashfa
Ikumbukwe Kagera Ni timu ndogo na wala sio wapinzani wa Simba na pia wala sio watani wa jadi.
Mnatakiwa kujua nafasi yenu sio kuandika mapango ya kuichafua Simba
Simba haikuenda FIFA Bali ililalamika kwa TFF baada ya Kagera kuchezesha mchezaji Mbaraka Yussuf