πππ wakikujibu nitag Mkuu.Mikiya vipi mmekata mazoea au??
Uwiiiiiiii.Kaanike godoro. . Limelowana katerero
ππππNa wamefungwa tena
Ku
Kubali nyie kwa Kagera ni Wali au bwabwa tu
Naona Mnyama kaliwa kiboga aiseee
W
Wacha uongo wewe, usifikiri humu sote Misukule mkuu, kawadanganye Misukule wenzio huko
Hahaaaa. Huu msumari wa moto kwao.Naona ni mwendo wa kirungu kimoja kimoja na badoo hadi akili iwakae sawa, mji woote kimyaaa
Nawaza ile kauli ya Manara kwamba wakabidhiwe kombe wakicheza na Sevilla hivi bado iko hai kweli?Nimepita msimbazi wanalamba lamba sukari tuππ
Hawa watoto wametuzidi ujanja kabisa.. hatuna jipya kabisa kwao.Ku
Kubali nyie kwa Kagera ni Wali au bwabwa tu
Ngoja tuendelee kupiga mtori nyama tutazikuta chiniNawaza ile kauli ya Manara kwamba wakabidhiwe kombe wakicheza na Sevilla hivi bado iko hai kweli?