Kagera Sugar vs Simba

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Naomba mnijuze hii mechi ya simba na kagera itachezwa leo huko shinyanga? Na itaonyeshwa live na azam??? Nijuzeni pls
 
Naomba mnijuze hii mechi ya simba na kagera itachezwa leo huko shinyanga? Na itaonyeshwa live na azam??? Nijuzeni pls

Timu ziko uwanjani na mpira utaanza within no time.
 
Dakika ya 10; Kagera Sugar 0-0 Simba.
 
Okwi anaonesha uhai wa kutosha, huenda mnyama ataondoa gundu.
 
Duh Makoye mkuu azam wanaonyesha hii gem
 
Mikia hamjambo, mbona hamuonekani jukwaani au mnasubiri mpate magoli ndipo muonekane?

Dakika 34: Kagera Sugar 0-0 Simba.
 
Mikia hamjambo, mbona hamuonekani jukwaani au mnasubiri mpate magoli ndipo muonekane?

Dakika 34: Kagera Sugar 0-0 Simba.

Tupo mkuu naona watu wamechoka na pombe za sikukuu, Azam wanaonyesha ila bundle linasua sua sana lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…