Kagera Sugar vs Simba

Kagera Sugar vs Simba

Mkuu mikono ya mchezaji ingekuwa mahali pake pa siku zote (normal position) ningekubaliana na wewe kwamba mpira ulifuata mikono lakini sasa mikono haikuwa kwenye position yake ya kawaida,

Hivi unaweza kuanguka kifudifudi mikono ikabaki kwenye position yake ya kawaida?
 
Hivi unaweza kuanguka kifudifudi mikono ikabaki kwenye position yake ya kawaida?

Mkuu unataka kusema nini sasa hapa? hivi unaweza kulala kifudi fudi uwanjani? na kama ikitokea umelala kifudi fudi ni wazi mikono haiwezi kuelekea juu katika hali ya kawaida, ama itasupport uso(kichwa) au itabakia sambamba na mwili huku ikiwa imenyoka ama itaelekea mbele na kuwa sambamba na kichwa.
 
Nimependa Sana AVATAR Yako Na Uzidi Kubarikiwa Kwa Kuichagua Na Kuiweka Hapo Na Hakika Wewe Ni Mzalendo Na Mwana Afrika Halisi.

Asante sana Mkuu. Ubarikiwe pia kwa uzalendo maana kuna baadhi ya watu hawamjui huyu kiongozi.

''The day will come when history will speak ... Africa will write its own history ... It will be the history of glory and dignity'' (Patrice Lumumba).
 
Nilipoiona Hiyo Picha Machozi Yalinitoka Na Kwangu Binafsi Hiyo Picha Yako Ya AVATAR Ina Maana Kubwa Mno Kwangu We Acha Tu!
 
Back
Top Bottom