Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,979
- 3,105
Acha mipasho, sisi tunafuatilia mpira, hii siyo taarabu.
Hiyo penalt ndo inakutia kiburi...
Fuatilieni kisha mtoe mrejesho, naona mmepoa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mipasho, sisi tunafuatilia mpira, hii siyo taarabu.
Hiyo penalt ndo inakutia kiburi...
Fuatilieni kisha mtoe mrejesho, naona mmepoa sasa.
Fuatilieni kisha mtoe mrejesho, naona mmepoa sasa.
Fuatilieni kisha mtoe mrejesho, naona mmepoa sasa.
Achana naye huyo, hajui kwamba kupambana koote huku ni kupigania nafasi ya 3!
Kuna kale kamsemo ka baswahili....masikini akipata makalio huliaje.....?
Subiri dk 90 ziishe
Hata kama nafasi ya 3 poa, ndio mpira haiwezekani wote wawe nafasi ya kwanza, ajabu mnapresha kuliko hata simba vip??
Full time: Kagera Sugar 1-2 Simba, nilisema toka mwanzo mechi ya leo tunashinda na kweli tumeshinda, hongereni sana kwa wanasimba wote.
Ila penati ile ya kupewa jamaa hakunawa, cha ajabu beiki wa simba (nadhani alikuwa Isihaka yule) kanawa refa kapeta
Faida ya kutoingia vyumbani imeanza kuonekana.
Ebwana wewe unaonyesha ni mwanamichezo halisi hauko biased, big up!