Kagera Sugar vs Simba

Kagera Sugar vs Simba

Hata kama nafasi ya 3 poa, ndio mpira haiwezekani wote wawe nafasi ya kwanza, ajabu mnapresha kuliko hata simba vip??

Nani kakudanganya siye tuna pressure? Wenzako wako ICU wakiomba mpira uishe.

FT: Kagera Sugar 1-2 Simba.

CC. mikia wote, endeleeni sasa hapa jukwaani, siku hii ni yenu.
 
Full time: Kagera Sugar 1-2 Simba, nilisema toka mwanzo mechi ya leo tunashinda na kweli tumeshinda, hongereni sana kwa wanasimba wote.
 
Full time: Kagera Sugar 1-2 Simba, nilisema toka mwanzo mechi ya leo tunashinda na kweli tumeshinda, hongereni sana kwa wanasimba wote.

Sawa Mkuu, dakika 90 zimeamua. Kuna vurugu uwanjani refa akiwa kwenye msukosuko, je kawapendelea Simba au ni Kagera Sugar hawataki kukubali matokeo?
 
Ila penati ile ya kupewa jamaa hakunawa, cha ajabu beiki wa simba (nadhani alikuwa Isihaka yule) kanawa refa kapeta
 
Mtu kapakatwa hapo
 

Attachments

  • 1428329711017.jpg
    1428329711017.jpg
    29.1 KB · Views: 361
Sikufuatilia mechi. Nilikuwa nakatiza Katavi National Park nilipofika njia panda nikauliza matokeo ndio nikaambiwa tumeshinda 2-1.Mechi ilikuwa nzuri?Wafungaji nani?
 
Ila penati ile ya kupewa jamaa hakunawa, cha ajabu beiki wa simba (nadhani alikuwa Isihaka yule) kanawa refa kapeta

Refa ni binadamu, si mkamilifu huenda kaona beki wa Kagera Sugar akiunawa na hakuona beki wa Simba kuunawa mpira. Kagera Sugar waheshimu maamuzi ya refa na wakubali matokeo, huo ndio mpira wa miguu.
 
Ebwana wewe unaonyesha ni mwanamichezo halisi hauko biased, big up!

Tumekuwa pamoja hapa jukwaani kwa muda mrefu usiufahamu msimamo wangu Mkuu BBA?

Napenda ligi ya Tanzania baada ya 'kuokoka' kutoka katika ligi za wakoloni. Kila mechi ya ligi kwangu ni burudani tosha.
 
Last edited by a moderator:
Daaaah
Kweli msimu huu wa sikukuu umekua mwema kwangu, the gunnerZ....4
Jitu kubwa Simba sc 2, Madrid ndio balaa... 9😀
 
Si wakate rufaa Hajibu ana kadi 5 za njano. Wenzao wanangoja hatma ya rufaa zao. Vurugu za nini?Ushindi wa mezani si upo?
 
Back
Top Bottom