Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

Hawa Kagera wabaya sana wanakula hadi simba.!?
 
Hivi ni macho yangu tu au, hii pitch ya kaitaba ni ndogo sana.


Distance of the Camera from the pitch affects the way you see it.

Lakini kina ukubwa sawa na kile cha Azam Complex.
 
kwani imeishaje? maana kwetu TV zilizima ghafla zijui luku aaah uswazi bwana
 
Simba wanatutia hata sisi mashabiki aibu, haiwezekani kila mechi wanacheza kama vile watu ambao hawajafanya mazoezi kwa miaka kadhaa ...
 
Tuwe wakweli, simba hii ambayo haiwezi cheza under pressure kama Arsenal, yanga wataendelea kichukua ubingwa hata wawe wabovu kiasi gani ila simba mpira wetu bado.
 
Gazeti la mwananchi jana ::yanga yaongoza ligi kwa muda!!! Yaani usimba bana
 
Kanda ya ziwa ni jipu kwa simba! Yaani kagera alikula za kutosha kwa yanga leo kamkalisha simba, dah!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kua bingwa nacho kpaji..
Simba wetu pinzan kawa paka leo..
Kaseja anawabania nahis wataomba wamsajili tena
Lile bao maskhara alifanya yeye ikawa kona mambo yalianzia hapo ila kifupi kawabania kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…