Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

simba bado bingwa. Ukweli zimeongezwa dakika tano zimeisha mbili yaani dk 92 referee akamaliza mpira. Waamzi WA tz ni majipu sasa hizi tatu watacheza lini?. Naipongeza yanga kwa ushindi lakini zaidi nampongeza referee aliyetenda haki muda wa ziada.
 
Tuwe wakweli, simba hii ambayo haiwezi cheza under pressure kama Arsenal, yanga wataendelea kichukua ubingwa hata wawe wabovu kiasi gani ila simba mpira wetu bado.
Mashabiki kama weye ni 0.0000001 wenye uelewa huo wengi huongozwa na mihemko ukweli hawaukubali
 
d891773861de7f51ca021f868a078369.jpg
 
simba bado bingwa. Ukweli zimeongezwa dakika tano zimeisha mbili yaani dk 92 referee akamaliza mpira. Waamzi WA tz ni majipu sasa hizi tatu watacheza lini?. Naipongeza yanga kwa ushindi lakini zaidi nampongeza referee aliyetenda haki muda wa ziada.
Azam tv ndio wakuwalaumu, wao wamechelewa kuweka ile scoreboard kwa takribani dakika tatu nyuma na hata dakika za nyongeza mwamuzi wa akiba alinyoosha ubao dakika ya tisini wakati Azam inasomeka dk ya 87. Je unadhani ni kweli goli la pili lilifungwa dakika ya 45 kama Azam walivyoandika?
 
Mashabiki kama weye ni 0.0000001 wenye uelewa huo wengi huongozwa na mihemko ukweli hawaukubali
Hivi cha ajbu ni kufungwa? unsema simba bdo untaka wacheze mchezo gan? kagera wana haki ya kushinda ka zilvyo timu nyingine wabongo tuna matatizo yaliyopitiliza simba wangeshinda goli nyingi mngesema wamehonga..wamfungwa mpira wao bado sana..jamn simba ni nani wasifungwe? acheni mboyoyo ka mnaona simba na yanga c za kufungwa wngecheza wnywe ligi nzima timu nyingine zisiwepo
 
Eti ni kweli Harmorappa ameonekana akielekea mitaa ya Msimbazi kutoa pole?
 
Simba ndiyo timu yenye kikosi bora msimu huu achilia mbali kama watabeba kombe au laa.
Wachezaji wa ndani wamewafunika wageni kwa asilimia kubwa ni jambo la kufurahia sana.
Katika michezo waliyopoteza yote utofauti ni goli moja tu. Ni ishara tosha jinsi wasivyofungika kiurahisi.
Ndiyo timu iliyoongoza kupata ushindi ktk ligi ikitokea nyuma kusawazisha na kushinda. Si jambo jepesi hayo tumekuwa tunayaona majuu tu huko ktk timu kubwa za Man, aseno, liver na wengineo sasa simba wameweza.
Ubora wa wachezaji wa ndani ndiyo ubora wa timu ya taifa.
Kwa ujumla simba iko vizuri japo wanahitaji kuongeza bidii mno na ubunifu zaidi.
 
Back
Top Bottom