Mashabiki kama weye ni 0.0000001 wenye uelewa huo wengi huongozwa na mihemko ukweli hawaukubaliTuwe wakweli, simba hii ambayo haiwezi cheza under pressure kama Arsenal, yanga wataendelea kichukua ubingwa hata wawe wabovu kiasi gani ila simba mpira wetu bado.
Leo wamejificha siku wakishinda humu huwa hapatoshiNikupe Ongera zako. Maana kwenye Ulimwengu wa KUBET tunaiita OVER 2.5
Azam tv ndio wakuwalaumu, wao wamechelewa kuweka ile scoreboard kwa takribani dakika tatu nyuma na hata dakika za nyongeza mwamuzi wa akiba alinyoosha ubao dakika ya tisini wakati Azam inasomeka dk ya 87. Je unadhani ni kweli goli la pili lilifungwa dakika ya 45 kama Azam walivyoandika?simba bado bingwa. Ukweli zimeongezwa dakika tano zimeisha mbili yaani dk 92 referee akamaliza mpira. Waamzi WA tz ni majipu sasa hizi tatu watacheza lini?. Naipongeza yanga kwa ushindi lakini zaidi nampongeza referee aliyetenda haki muda wa ziada.
Hivi cha ajbu ni kufungwa? unsema simba bdo untaka wacheze mchezo gan? kagera wana haki ya kushinda ka zilvyo timu nyingine wabongo tuna matatizo yaliyopitiliza simba wangeshinda goli nyingi mngesema wamehonga..wamfungwa mpira wao bado sana..jamn simba ni nani wasifungwe? acheni mboyoyo ka mnaona simba na yanga c za kufungwa wngecheza wnywe ligi nzima timu nyingine zisiwepoMashabiki kama weye ni 0.0000001 wenye uelewa huo wengi huongozwa na mihemko ukweli hawaukubali
Hahahaaa uwe unaweka akiba ya maneno....Simba taifa kubwa, na leo zikipungua sana ni tatu..take my words...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti ni kweli Harmorappa ameonekana akielekea mitaa ya Msimbazi kutoa pole?