Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba

Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
c7fc6eee-741f-4297-91a2-766004be48c3.jpg
Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba

Kweli kwa mbeleko hizi mpira wetu utaendelea?

Acheni bingwa apatikane kwa haki,na sio kwa mbeleko hizi.

Ina maana Kagera Sugar haruhusiwi kumfunga simba?Chezeni mpira acheni kutafuta njia za mkato kufikia ubingwa.

Alluta continua...
 
KAGERA SUGAR WAINUKA, WATINGA TFF KUTAKA WAREJESHEWE POINTI ZAO WALIZOPEWA SIMBA KAGERA SUGAR WAINUKA, WATINGA TFF KUTAKA WAREJESHEWE POINTI ZAO WALIZOPEWA SIMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

KWELI KWA MBELEKO HIZI MPIRA WETU UTAENDELEA?

ACHENI BINGWA APATIKANE KWA HAKI,NA SIO KWA MBELEKO HIZI.

INA MAANA KAGERA SUGAR HARUHUSIWI KUMFUNGA SIMBA?CHEZENI MPIRA ACHENI KUTAFUTA NJIA ZA MKATO KUFIKIA UBINGWA.

Alluta continua...
Hili suala liko wazi sana ila ni mambo ya siasa tu za mpira wa bongo, je kagera sugar wanazo record kuwa mchezaji wao ktk mechi ya africa lion alionyeshwa kadi ya njano? Na lazima watakuwa nazo tu! Kama hawana japo utakuwa ni uzembe mkubwa sana ila waweza pata hata clip. Mbona mwaka jana azam alipokonywa ila haikuwa inshu sana! Hilo ni suala la kanuni tu. Mpira wa Tz bado unasafari ndefu sana.
 
Umeongea pointi sana nafikiri azam wanacd zenye game zote kwann wasitumie hizo kama ushahidi?

Waache kuonea timu Ndogo kama kweli madai ya kagera sugar niya kweli na wasitake bingwa awe wanaomtaka wao mbona mpira unachezwa kweupe tu hakuna Sanduku la kura uwanjani useme ni siri
 
Tusubiri Tff watakuja na Jibu gani wakisema ni kweli alikua na kadi tatu na ushahidi juu sitakua na dukuduku moyoni mwangu,ila sheria ifuate mkondo wake na sio upande mmoja uonewe
 
Wapambane waache kutegemea spoon feed,Kagera wamejipanga wametumia gharama zao kwa ajili ya kambi ya mazoezi leo unakuja kuwapoka pointi zao kirahisi tu,kama ni kweli kila mpenda soka akemee hiki kitu ni udhulumaji,pointi tamu ni zile za kuzitolea jasho dk 90 na sio pointi za kupewa chumbani
 
Real madrid kulikua na udhibitisho kama wenye Mchezaji kumbukumbu zao zinasema mchezaji alikua na kadi mbili hiyo ya tatu kaipata wapi?

Nafikiri wewe ni Shabiki wa simba aya tupe kumbukumbu zako..

Acheni Kupenda kitonga pambaneni mle kwa jasho lenu.
 
Wapambane waache kutegemea spoon feed,Kagera wamejipanga wametumia gharama zao kwa ajili ya kambi ya mazoezi leo unakuja kuwapoka pointi zao kirahisi tu,kama ni kweli kila mpenda soka akemee hiki kitu ni udhulumaji,pointi tamu ni zile za kuzitolea jasho dk 90 na sio pointi za kupewa chumbani
Acheni ulofa... Angalieni kanuni
Simba wanabebwa tu TFF warudishieni Kagera point zao
 
Tusubiri Tff watakuja na Jibu gani wakisema ni kweli alikua na kadi tatu na ushahidi juu sitakua na dukuduku moyoni mwangu,ila sheria ifuate mkondo wake na sio upande mmoja uonewe
Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
 
Mbona hata watt wadogo wanajua kwamba mchezaji akiwa na kadi tatu za njano anatakiwa akose mchezo mmoja... Ina maana wewe hujui?
sawa watoto wadogo wanajua sijakataa sasa sijui watoto wadogo unaowazungumzia ni Neonate au infant utafafanua kidogo.

Kagera wanasema mchezaji wao anakadi mbili hiyo ya 3 katoa wapi na sijawahi kusikia Faki amecheza hata Ndondo cup
 
Back
Top Bottom