Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Kupanga ni kuchagua
Juzi tu mmeshindwa kukomboa NYASI zenu za mil 80/=...
Leo unatuambia mliwalipa Kagera Sugar mil 25/=.....
"Naona Mauza Uza Tu"[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupanga ni kuchagua
Juzi tu mmeshindwa kukomboa NYASI zenu za mil 80/=...
Leo unatuambia mliwalipa Kagera Sugar mil 25/=.....
"Naona Mauza Uza Tu"[emoji23]
Historia inahukumu.
Mwaka 2006 mchezo dhidi ya kagera suger simba ilishinda goli moja lakini ilipokonywa points zote 3 baada ya kugundulika alichezeshwa Mussa Mgosi akiwa na kadi tatu za Njano na Yanga wapooooooo.
Mwaka 2007 mchezo dhidi ya Coastal union simba ilimchezesha Juma Nyoso ambaye alihamia unyamani akitokea Ashanti ambapo alipata kadi tatu hivyo simba ikala kwetu.. tukaporwa points 3 na yanga wapoooooo.
Mwaka 2017 Simba tunashinda rufaa dhidi ya mchezo na Kagera na tunapewa points tatu Yanga hawataki.
Hahahahahaaaa wanasahau kwamba Muosha huoshwa..
@mwambile hizo stori umezipata kijiwe gani cha kahawa!!!?Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Hiyo ni script ya kubuni.@mwambile hizo stori umezipata kijiwe gani cha kahawa!!!?