Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba

Mwaka huu hata mjinyee muongee mpovuke ubingwa unaenda msimbazi
nyie endeleeeni kucheza kimataifa nyie si wa kimataifa bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mnyama kadroo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Na yanga wameaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila simba ya ajabu saña ña kuhongwa point tatu lakini bado tú mnasua sua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mnataka kuitia hasara TFF nyie
 
Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Lofa wewe. Kamdanganye house girl wenu
 
Mama yako mdogo.....alaaa lofa mwenyewe toa nawe scanario unahisi walitumia ....hiyo nimebuni ...heshimu mawazo ya kiazi wewe
Umesema mwenyewe heshimu mawazo ya kiazi. Umejijua kuwa wewe ni kiazi. Mtembea na beki tatu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo barua imeandaliwa na VYURA FC hakuna jingine...hao kagera watoe gharama za rufaa..wahangaike na points hizo tatu wao za nn? Hata akipewa anakuwa bingwa?au anashuka daraja? Hao ni vyura fc wanataka kuvuruga ligi...kwani simba mara ngp alishapokonywa points kwenye ligi? Badala ya KUSHUGHULIKA na mechi zenu mnapambana kumdhoofisha mnyama matokeo yake 4 LTE
 
Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Hii naona kama vile umeitunga mwenyewe, lakini inaashiria ka ukweli Fulani. Anyway tusuburi maamuzi T.f.f ili kwenye haki apate haki yake. Hata hivyo kuchukua point za mezani ni udhaifu, inabidi timu ipambane ndani ya DK 90 za mchezo uwanjani Na si vinginevyo.
 
Wajumbe wa kamati ya masaa 72 TFF wengi ni wapenzi wa Simba . Unategemea maamuzi ya haki hapo ? Kamati hii inafaa itumbuliwe
 
Nashangaa sana tunapenda kulilia points zamezani kwa nini isiwe kama ulaya ukifanya kosa unapigwa faini na mchezaji kufungiwa na faini juu halafu ukiangalia suala la simba limeenda haraka sana la yanga na A frica lion limechukua muda ila mchezaji alisha fungiwa ila maamuzi ya simba yameenda chap chap mimi naona aliyefungwa amefungwa kama makosa yapo waazibiwe walio kosea tufuate Sheria za waingereza mbona Sheria zote tunawafuata waingereza tuache usimba na uyanga hizi timu ndio zinaturudisha nyuma kimaendeleo ya mpira
 
Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....

Juzi tu mmeshindwa kukomboa NYASI zenu za mil 80/=...

Leo unatuambia mliwalipa Kagera Sugar mil 25/=.....

"Naona Mauza Uza Tu"[emoji23]
 
Back
Top Bottom