Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....