Hili suala liko wazi sana ila ni mambo ya siasa tu za mpira wa bongo, je kagera sugar wanazo record kuwa mchezaji wao ktk mechi ya africa lion alionyeshwa kadi ya njano? Na lazima watakuwa nazo tu! Kama hawana japo utakuwa ni uzembe mkubwa sana ila waweza pata hata clip. Mbona mwaka jana azam alipokonywa ila haikuwa inshu sana! Hilo ni suala la kanuni tu. Mpira wa Tz bado unasafari ndefu sana.KAGERA SUGAR WAINUKA, WATINGA TFF KUTAKA WAREJESHEWE POINTI ZAO WALIZOPEWA SIMBA KAGERA SUGAR WAINUKA, WATINGA TFF KUTAKA WAREJESHEWE POINTI ZAO WALIZOPEWA SIMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
KWELI KWA MBELEKO HIZI MPIRA WETU UTAENDELEA?
ACHENI BINGWA APATIKANE KWA HAKI,NA SIO KWA MBELEKO HIZI.
INA MAANA KAGERA SUGAR HARUHUSIWI KUMFUNGA SIMBA?CHEZENI MPIRA ACHENI KUTAFUTA NJIA ZA MKATO KUFIKIA UBINGWA.
Alluta continua...
Wewe kama jina lako lilivyo... Unaropoka tu... Kila kitu ni Kanuni.Mi najiuliza tu, hivi Simba wangekuwa wameshinda ile mechi wangeenda kuomba slop?
Simba ni timu ya hovyo kabisa.
Acheni ulofa... Angalieni kanuniWapambane waache kutegemea spoon feed,Kagera wamejipanga wametumia gharama zao kwa ajili ya kambi ya mazoezi leo unakuja kuwapoka pointi zao kirahisi tu,kama ni kweli kila mpenda soka akemee hiki kitu ni udhulumaji,pointi tamu ni zile za kuzitolea jasho dk 90 na sio pointi za kupewa chumbani
Simba wanabebwa tu TFF warudishieni Kagera point zao
Mbona hata watt wadogo wanajua kwamba mchezaji akiwa na kadi tatu za njano anatakiwa akose mchezo mmoja... Ina maana wewe hujui?utafanya jambo la maana sana kama ukipost hizo kanuni humu ili na sisi tuzijue au ni wapi tunaweza kuzipata hizo kanuni.
Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....Tusubiri Tff watakuja na Jibu gani wakisema ni kweli alikua na kadi tatu na ushahidi juu sitakua na dukuduku moyoni mwangu,ila sheria ifuate mkondo wake na sio upande mmoja uonewe
hakuna cha kanuni Kagera wapewe point zaoAcheni ulofa... Angalieni kanuni
sawa watoto wadogo wanajua sijakataa sasa sijui watoto wadogo unaowazungumzia ni Neonate au infant utafafanua kidogo.Mbona hata watt wadogo wanajua kwamba mchezaji akiwa na kadi tatu za njano anatakiwa akose mchezo mmoja... Ina maana wewe hujui?