Ni kutapa tapa tu kwa Yanga,hakuna lingine. Mpira una nidham yake.Kamwe TFF isikubali kupelekeshwa. Kanuni ziheshimiwe,kama Vilabu havina kumbukumbu za wachezaji wao, ni uzembe wao. Hata kama Ndanda,Toto,Stendi,Yanga au timu nyingine ingecheza na Kagera,na kuthibitika kuchezesha mtu mwenye kadi tatu,Kagera angepokonywa.Sijakataa kiongozi la msingi haki itendeke tena mbna siku hizi teknolojia imekua sana Kuna Azam tv wanacd zote z michezo husika kama vipi wafanye marejesho ya hiyo michezo waangalie kama kweli alikua na kadi 3.
Changudoa kalete wewe sisi ya nini wakati tuna point tatu.... Nyie mmetushindwa na wachezaji 10 mnatafuta msaada.Tuleteeni cd hatutaki maamuzi ya kujifungia chumbani!
Kadi kati ya Africa lyon hawaijui[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]...... Yanga wanasema ni edited ila kadi hakupata yeyeHivi hivi, Real Madrid iliondolewa kombe la mfalme, kwa kumchezesha mchezaji asiyestahili!
Mihemko yoooote hii, ni kutoka kwa MAKADA wa Dar Young African!!
Tatizo la sisi watu tusiopenda kusikiliza wengine wabasemaje ndo hili.... Mtu unakaa kijiweni tuu. Mbona shauri liko wazi kabisa, rudia kusikiliza uamzi uliowatia hatiani then relate na matukio ya video za nechi zote zilizo mtia hatiani.Kadi wanayehesabu iitolewa sijui ligi ya nn ile ila jamaa alikuwa nazo mbili
Sasa kama hata kanuni huna na huzijui unapata wapi ujasiri wa kujadili kitu usichokijua????? Tatizo vijiwe soka vinaharibu mpira wa nchi hiiiutafanya jambo la maana sana kama ukipost hizo kanuni humu ili na sisi tuzijue au ni wapi tunaweza kuzipata hizo kanuni.
Duh hatariHabari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Kama hamjui kanuni mbona mapovu yanawatoka sana? Simba ni mnyama anayetisha sanautafanya jambo la maana sana kama ukipost hizo kanuni humu ili na sisi tuzijue au ni wapi tunaweza kuzipata hizo kanuni.
Nimesahau mechi ya Simba na Yanga ya raundi ya pili Simba walicheza wangap? Uwanjan na matokeo yalikuwaje tafadhali wanamichezo mnikumbushe [emoji12] [emoji12]Real madrid kulikua na udhibitisho kama wenye Mchezaji kumbukumbu zao zinasema mchezaji alikua na kadi mbili hiyo ya tatu kaipata wapi?
Nafikiri wewe ni Shabiki wa simba aya tupe kumbukumbu zako..
Acheni Kupenda kitonga pambaneni mle kwa jasho lenu.
Dah kazi kweliHabari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Umeelemea upande mmoja .hata timu kubwa zisionewe,hao Azam wamepinga hiyo kadi ya njano ya mechi ya African lyon?Umeongea pointi sana nafikiri azam wanacd zenye game zote kwann wasitumie hizo kama ushahidi?
Waache kuonea timu Ndogo kama kweli madai ya kagera sugar niya kweli na wasitake bingwa awe wanaomtaka wao mbona mpira unachezwa kweupe tu hakuna Sanduku la kura uwanjani useme ni siri
Yanga bwana utawajua tuMi najiuliza tu, hivi Simba wangekuwa wameshinda ile mechi wangeenda kuomba slop?
Simba ni timu ya hovyo kabisa.
Sheria na kanuni lazima zifuate mkondo wake.punguza povuWapambane waache kutegemea spoon feed,Kagera wamejipanga wametumia gharama zao kwa ajili ya kambi ya mazoezi leo unakuja kuwapoka pointi zao kirahisi tu,kama ni kweli kila mpenda soka akemee hiki kitu ni udhulumaji,pointi tamu ni zile za kuzitolea jasho dk 90 na sio pointi za kupewa chumbani
Wewe unajua zaidi kuliko kamati ya SAA 72 kuliko TFF haya nenda mahakamaniReal madrid kulikua na udhibitisho kama wenye Mchezaji kumbukumbu zao zinasema mchezaji alikua na kadi mbili hiyo ya tatu kaipata wapi?
Nafikiri wewe ni Shabiki wa simba aya tupe kumbukumbu zako..
Acheni Kupenda kitonga pambaneni mle kwa jasho lenu.
Sasa umeshinda alafu unakata rufaaa ya kazi gani?Mi najiuliza tu, hivi Simba wangekuwa wameshinda ile mechi wangeenda kuomba slop?
Simba ni timu ya hovyo kabisa.
Haya mambo sijawah kuyaskia ULAYA.Hili suala liko wazi sana ila ni mambo ya siasa tu za mpira wa bongo, je kagera sugar wanazo record kuwa mchezaji wao ktk mechi ya africa lion alionyeshwa kadi ya njano? Na lazima watakuwa nazo tu! Kama hawana japo utakuwa ni uzembe mkubwa sana ila waweza pata hata clip. Mbona mwaka jana azam alipokonywa ila haikuwa inshu sana! Hilo ni suala la kanuni tu. Mpira wa Tz bado unasafari ndefu sana.
Mi najiuliza tu, hivi Simba wangekuwa wameshinda ile mechi wangeenda kuomba slop?
Simba ni timu ya hovyo kabisa.