Kagera Sugur wataka mil 200 kwa Yusuf Mulihu aende Simba

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Uongozi wa Kagera Sugar umetangaza unataka dau la milioni 200 kama ada ya uamisho ya mchezaji wao kwenda Simba SC.
Iko hivi...

Simba waliweka dau la milioni 35 kwa Kagera Sugar kuvunja mkataba wa mwaka 1 uliosalia wa Yusuf Mhilu uku Kagera Sugar wakitaka milioni 50 wakiwa bado kwenye mazungumzo Simba ilitangaza kumsajili kijana huyu kitendo hicho kiliwaudhi Kagera Sugar na kuona ni dharau na kuvunja mazungumzo.

Kuona hivyo Yusuf Muhilu akapita mlango wa nyuma kwenda TFF kuukana mkataba huo. TFF ikaita pande zote 2 baada ya mapitio ilabainika Yusuf Mhilu bado anamkataba halali wa mwaka 1 kuitumikia Kagera Sugar. Kagera Sugar imetishia kuishitaki Simba FIFA na kupandisha dau la uhamisho huo kuifikia milioni 200.

Note: Kagera Sugar kijana Muhilu hana thamani ya milioni 200 mnachotaka kufanya ni kumkomoa na kuikomoa klabu ya Simba.
Muacheni kijana akapate malisho bora

230885329_111829257828530_7590698142724219935_n.jpeg
 
Huyu ana thamani ya milioni 500. Simba wamezoea kufanya wizi wizi kwenye usajili, ni wazi Simba ilifanya kosa hivyo ishughulikiwe kikamilifu. Kagera waaandae mawakili wazuri kuna pesa za kubeba tu kwenye hili kosa la Simba.

TFF naona hawataki aibu nyingine ukizingatia hukumu inakaribia katika shauri la Morrison.
 
Milioni 500? Amekuwa Chama huyu au miquissone? Simba wanauwezo wa kususa na wakamuachia hiyo hela ya usajili aliechukua dogo
 
Huyu asituumize kichwa, tunapiga chini tunatafuta"mutu ingine"
 
Hiyo pesa ni ndogo, tutailipa wala hatuna shida!
 
Uongozi wa Kagera Sugar umetangaza unataka dau la milioni 200 kama ada ya uamisho ya mchezaji wao kwenda Simba SC.
Iko hivi
Simba waliweka dau la milioni 35 kwa Kagera Sugar kuvunja mkataba wa mwaka 1 uliosalia wa Yusuf Mhilu uku Kagera Sugar wakitaka milioni 50 wakiwa bado kwenye mazungumzo Simba ilitangaza kumsajili kijana huyu kitendo hicho kiliwaudhi Kagera Sugar na kuona ni dharau na kuvunja mazungumzo.
Kuona hivo Yusuf Muhilu akapita mlango wa nyuma kwenda TFF kuukana mkataba huo .TFF ikaita pande zote 2 baada ya mapitio ilabainika Yusuf Mhilu bado anamkataba halali wa mwaka 1 kuitumikia Kagera Sugar.
Kagera Sugar imetishia kuishitaki Simba FIFA na kupandisha dau la uhamisho huo kuifikia milioni 200.

Note: Kagera Sugar kijana Muhilu hana thamani ya milioni 200 mnachotaka kufanya ni kumkomoa na kuikomoa klabu ya Simba.
Muacheni kijana akapate malisho boraView attachment 1895565
Simba sc wamezoea vya kunyonga, ujanja ujanja mwingi Sana.
 
Basi ni Morrison ni mjinga kusaini mkataba simba wakati ana ana mkataba na Yanga, hivi kwanini hii timu yetu ya simba inapenda saana wachezaji kwa kufanya vurugu za namna hii, it's very unproffesional
 
Unaweza kuta labda mchezaji aliwadanganya Hana mkataba
 
Kwani mchezaji alikuwa anacheza kwenye timu yake binafsi, lazima unapotaka player uende kwa uongozi wake kujihakikishia na hizi kelele zisingekuwepo
 
Uongozi wa Kagera Sugar umetangaza unataka dau la milioni 200 kama ada ya uamisho ya mchezaji wao kwenda Simba SC.
Iko hivi
Simba waliweka dau la milioni 35 kwa Kagera Sugar kuvunja mkataba wa mwaka 1 uliosalia wa Yusuf Mhilu uku Kagera Sugar wakitaka milioni 50 wakiwa bado kwenye mazungumzo Simba ilitangaza kumsajili kijana huyu kitendo hicho kiliwaudhi Kagera Sugar na kuona ni dharau na kuvunja mazungumzo.
Kuona hivo Yusuf Muhilu akapita mlango wa nyuma kwenda TFF kuukana mkataba huo .TFF ikaita pande zote 2 baada ya mapitio ilabainika Yusuf Mhilu bado anamkataba halali wa mwaka 1 kuitumikia Kagera Sugar.
Kagera Sugar imetishia kuishitaki Simba FIFA na kupandisha dau la uhamisho huo kuifikia milioni 200.

Note: Kagera Sugar kijana Muhilu hana thamani ya milioni 200 mnachotaka kufanya ni kumkomoa na kuikomoa klabu ya Simba.
Muacheni kijana akapate malisho boraView attachment 1895565
Source ya habari ni ipi?
 
Umafia kwenye transfer ni suala la kawaida
Usitake kuhalalisha uhuni wenu mkuu, Kuna mwekezaji? Sasa ujanja na uhuni vya nini? Au kwa kuwa tff mmeiweka mifukoni mwenu siyo. Kila timu ikifanya hivyo so itakuwA vurugu tu.
 
Uongozi wa Kagera Sugar umetangaza unataka dau la milioni 200 kama ada ya uamisho ya mchezaji wao kwenda Simba SC.
Iko hivi
Simba waliweka dau la milioni 35 kwa Kagera Sugar kuvunja mkataba wa mwaka 1 uliosalia wa Yusuf Mhilu uku Kagera Sugar wakitaka milioni 50 wakiwa bado kwenye mazungumzo Simba ilitangaza kumsajili kijana huyu kitendo hicho kiliwaudhi Kagera Sugar na kuona ni dharau na kuvunja mazungumzo.
Kuona hivo Yusuf Muhilu akapita mlango wa nyuma kwenda TFF kuukana mkataba huo .TFF ikaita pande zote 2 baada ya mapitio ilabainika Yusuf Mhilu bado anamkataba halali wa mwaka 1 kuitumikia Kagera Sugar.
Kagera Sugar imetishia kuishitaki Simba FIFA na kupandisha dau la uhamisho huo kuifikia milioni 200.

Note: Kagera Sugar kijana Muhilu hana thamani ya milioni 200 mnachotaka kufanya ni kumkomoa na kuikomoa klabu ya Simba.
Muacheni kijana akapate malisho boraView attachment 1895565
Ikifika FIFA hii kitu sidhani kama Simba watapona.
 
Baadhi ya Viongozi wa Kagera watakua wanafahamu kuhusu mchezaji wao ku sain Simba, shida itakua imekuja kwenye malipo upo uwezekano Viongozi wa Kagera na Simba hawaja elewana.
 
Back
Top Bottom