Halafu tuliambiwa wachezaji wote wa Simba walichanjwa, nadhani sasa inabidi wapate booster. Nasikia baadhi ya nchi za Ulaya wanatafakari kudunga chanjo ya 4 (booster level 4).
JPM wazungu hawakumpenda maana hakutaka hayo machanjo akiamini (ndivyo ilivyo) baada ya muda mwili utajitengezea kinga sasa nina wasiwasi hizi chanjo huenda zikafanya miili yetu kuwa tegemezi wa booster, huenda tukageuzwa kuwa mateja wa booster.
Vv