mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ugonjwa usiojulikana huko umesimamisha mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio maana akafa akaponza na wenzie wote wale uliokuwa unawaona katika uapishaji mpaka yule mjeshi aliyekuwa anakaam nyuma yakeHalafu tuliambiwa wachezaji wote wa Simba walichanjwa, nadhani sasa inabidi wapate booster. Nasikia baadhi ya nchi za Ulaya wanatafakari kudunga chanjo ya 4 (booster level 4).
JPM wazungu hawakumpenda maana hakutaka hayo machanjo akiamini (ndivyo ilivyo) baada ya muda mwili utajitengezea kinga sasa nina wasiwasi hizi chanjo huenda zikafanya miili yetu kuwa tegemezi wa booster, huenda tukageuzwa kuwa mateja wa booster.
Vv