Kagera: Yanayojiri Uchaguzi CHADEMA Bukoba kanda ya Victoria

Uchumi TV

Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
33
Reaction score
31
Update.
Matokeo yalitangazwa usiku. Wenje alitangazwa mshindi. Hali ilivyokuwa tazama hapa

View: https://www.youtube.com/live/mVv2HX9_cSM?si=epq5lcKJWCW9ZQPC
...........
UPDATE: Saa 4:04PM
Breaking News:
John Pambalu na timu ya watu wengine kama saba hivi wametoka katika ukumbi wa mkutano na kuondoka. tumejaribu kumuomba aongee kilichotokea katika ukumbi huo amesema hayuko tayari kusema lolote. ndani ya ukumbi mkutano unaendelea na huyu mgombea ashaondoka jumla hapa.

UPDATE: saa 3:07PM
Waandishi wa habari wameombwa kutokwenda live na kutoka ukumbini kwa muda. kwa sababu ya kinachoelezwa kuwa wana mambo fulani ya ndani ambayo hayapaswi kwenda public. hivyo tumesitisha live streaming na kutoka hadi hapo baadaye. tunaendelea kuwepo hapa nje kujua hatma ya uchaguzi huu.

kwa sasa ni hayo tu

............................
Wana Bodi,Leo chadema wanafanya uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa kanda ya VIctoria.Uchaguzi huo unafanyika mjini Bukoba .

Wagombea ni Ezekiel Wenje na John Pambalu.

Tutakuletea yanayojiri katika uchaguzi huo ikiwa ni pamoja na picha pamoja na video. hapa Bukoba internet bado inasua sua lakini ikikaa sawa tunaweza leta live streaming.

UPDATE 1
kinachoendelea kwa sasa tazama live

View: https://youtube.com/live/4g8JsoVB9NU

PAMBA7.jpg
 
kwa sasa ni hayo tu,
 
Tuko hapa hapa hadi kieleweke 🐼
 
View attachment 2998897

Chadema uchaguzi umekuwa moto sana kipindi hiki.
 
UPDATE: Saa 4:04PM
Breaking News:
John Pambalu na timu ya watu wengine kama saba hivi wametoka katika ukumbi wa mkutano na kuondoka. tumejaribu kumuomba aongee kilichotokea katika ukumbi huo amesema hayuko tayari kusema lolote. ndani ya ukumbi mkutano unaendelea na huyu mgombea ashaondoka jumla hapa.

ASUSA1.jpg
 
Back
Top Bottom