Mkuu inshu si kufungwa.. Umeona mpira aliotandaza MK14? Hapa Rwanda kwa sasa katika vijiwe vyote stori ni Kagere tu.. Wenyeji wangu wanasema hiii haijawahi tokea.hahahahahahahaaaaa kumbe simulizi za mpira wa kipemba
kutufunga wantufunga lakini chenga kagere kanawala
sijaangalia mpira ila napaswa niwe na imani na maneno yako.Mkuu inshu si kufungwa.. Umeona mpira aliotandaza MK14? Hapa Rwanda kwa sasa katika vijiwe vyote stori ni Kagere tu.. Wenyeji wangu wanasema hiii haijawahi tokea.
Leo timu bora kabisa katika ukanda huu wa CECAFA, Rwanda ilikua dimbani dhidi ya timu bora Africa yenye ukuta wa Berlin Ivory Coast katika mechi za kuwania kucheza AFCON. Matokeo ni timu ya Rwanda imelala 2 - 1.
Gumzo la leo hapa Amavubi ni huyu Medie Kagere. Huyu jamaa si tu kwamba ataulaza na viatu ukuta wa Berlin wa Ivory Coast, bali soka alilotandaza leo litabaki katika vitabu vya kumbukumbu kwa miaka mingi ijayo. MK14 leo kafunga goli pekee ambalo si pekee tu bali ni la mwaka. Pia Niyonzima aliyofanya leo ni kama juzi na jana.
Jamani Eeeh.. Huyu Kagere Kashindikana.
Na amewapatia point tatu watoto wa PAKA siyo?Leo timu bora kabisa katika ukanda huu wa CECAFA, Rwanda ilikua dimbani dhidi ya timu bora Africa yenye ukuta wa Berlin Ivory Coast katika mechi za kuwania kucheza AFCON. Matokeo ni timu ya Rwanda imelala 2 - 1.
Gumzo la leo hapa Amavubi ni huyu Medie Kagere. Huyu jamaa si tu kwamba ataulaza na viatu ukuta wa Berlin wa Ivory Coast, bali soka alilotandaza leo litabaki katika vitabu vya kumbukumbu kwa miaka mingi ijayo. MK14 leo kafunga goli pekee ambalo si pekee tu bali ni la mwaka. Pia Niyonzima aliyofanya leo ni kama juzi na jana.
Jamani Eeeh.. Huyu Kagere Kashindikana.
Amenikumbusha enzi zileeeeeee......za akina Juma Ngondaye....... "Timu kabambe ya RADIO TANZANIA, imefungwa kwa taabu na timu ya Kiwanda cha nguo cha Urafiki, magoli MATANO KWA BILA"!Na amewapatia point tatu watoto wa PAKA siyo?
Mpira ni magoli na wewe ni simbaLeo timu bora kabisa katika ukanda huu wa CECAFA, Rwanda ilikua dimbani dhidi ya timu bora Africa yenye ukuta wa Berlin Ivory Coast katika mechi za kuwania kucheza AFCON. Matokeo ni timu ya Rwanda imelala 2 - 1.
Gumzo la leo hapa Amavubi ni huyu Medie Kagere. Huyu jamaa si tu kwamba ataulaza na viatu ukuta wa Berlin wa Ivory Coast, bali soka alilotandaza leo litabaki katika vitabu vya kumbukumbu kwa miaka mingi ijayo. MK14 leo kafunga goli pekee ambalo si pekee tu bali ni la mwaka. Pia Niyonzima aliyofanya leo ni kama juzi na jana.
Jamani Eeeh.. Huyu Kagere Kashindikana.
Mambo ya AbracadabraAmenikumbusha enzi zileeeeeee......za akina Juma Ngondaye....... "Timu kabambe ya RADIO TANZANIA, imefungwa kwa taabu na timu ya Kiwanda cha nguo cha Urafiki, magoli MATANO KWA BILA"!