sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Leo timu bora kabisa katika ukanda huu wa CECAFA, Rwanda ilikua dimbani dhidi ya timu bora Africa yenye ukuta wa Berlin Ivory Coast katika mechi za kuwania kucheza AFCON. Matokeo ni timu ya Rwanda imelala 2 - 1.
Gumzo la leo hapa Amavubi ni huyu Medie Kagere. Huyu jamaa si tu kwamba ataulaza na viatu ukuta wa Berlin wa Ivory Coast, bali soka alilotandaza leo litabaki katika vitabu vya kumbukumbu kwa miaka mingi ijayo. MK14 leo kafunga goli pekee ambalo si pekee tu bali ni la mwaka. Pia Niyonzima aliyofanya leo ni kama juzi na jana.
Jamani Eeeh.. Huyu Kagere Kashindikana.