Kagere Na mayele Nani Bora ?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Baada ya mada kuibuka kati ya mayele Na kagere Nani Bora kuliko mwenzake
Kwangu Mimi mayele ni Bora kuliko kagere kwenye vitu hivi

Mayele ana speed
Mayele ana Power
Mayele anajua ku dribble
Mayele anajua kutoa assist

Na Mara nyingi mayele anacheza kama Secord attack
Kwa Matic hii mayele
Sio centre fowerd halisi maana katika Machi unaweza kumuona akicheza kama Winger yaani maeneo yote ya mbele ana tawala yeye anapo kuwa ana shambulia

Ndo maana mechi kama ya marumo , Simba , polisi Tanzania mwaka (2021 )Na zingine nyingi mayele alikuwa ana toka Na mpira katikati ya uwanja Na kupanda nao mbele Na kwenda kufunga au ana tengeneza shambulizi ambalo litazaa Goli au kutoa assist

Je Haya yote kagere alikuwa anayafanya jibu ni hapana
Kagere ni finisher mzuri Basi tofauti Na hapo kagere ni kama Mimi

Ila inategemea timu Yako kama una viungo wazuri ambao wanajua kutoa assist nzuri Na kutengeneza nafasi vizuri Na fikiri kagere anakufaa zaidi

Maana kagere inje ya box ni Sawa Sawa na Mimi Hajui ku dribble ,Hana speed, Hana Power
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mayelee anawafanya watu wakakae wapange nani achukue kiatu, akati kagere alikua ana malizaa wenyewee kazi uwanjani na hataki kuisumbua kamatii.

Woiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…