Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayele hafanyiwi rotation, kila kikosi ni yeye yupo pale mbele kati, ni kama tu Reliants Lusajo na George Mpole kwenye vikosi vyao vya Namungo na Geita Gold respectively, so wana chance ya kufunga zaidi. Kagere anafanyiwa rotation kutokana na majukumu mengine kama ya CAF CC, so pamoja na ubora wake, chances za kuweka kambani zinapungua. Mechi ya Simba vs Coastal Union aliingia muda mfupi akaweka kambani mawili, moja refa alilikataa kwa sababu ambazo hadi sasa watu wengi hawajazijuaHivi kati ya mayele na kagere nani ndo strike atari saana ?
This is very lowHivi unajua kagere akiwaga geto kwake anatetema?
Umejibu kishabiki sana na kupindisha uhalisia. Kagere sio kwamba anafanyiwa rotation kwaajili ya majukumu mengine bali mpaka sasa Pablo hana mfungaji wa maana na ndio maana anamuweka Kagere kwenye kikosi cha kwanza halafu anazingua mashabiki nao wanapata moto wanalalamika kuwa bora hata Mugalu kuliko Kagere.Mayele hafanyiwi rotation, kila kikosi ni yeye yupo pale mbele kati, ni kama tu Reliants Lusajo na George Mpole kwenye vikosi vyao vya Namungo na Geita Gold respectively, so wana chance ya kufunga zaidi. Kagere anafanyiwa rotation kutokana na majukumu mengine kama ya CAF CC, so pamoja na ubora wake, chances za kuweka kambani zinapungua. Mechi ya Simba vs Coastal Union aliingia muda mfupi akaweka kambani mawili, moja refa alilikataa kwa sababu ambazo hadi sasa watu wengi hawajazijua
Kumlinganisha Kagere na Mayele ni Sawa na Kulinganisha Kitambi na Mimba
Kwa hiyo unatuaminisha hii critize yako haiko kishabiki?Umejibu kishabiki sana na kupindisha uhalisia. Kagere sio kwamba anafanyiwa rotation kwaajili ya majukumu mengine bali mpaka sasa Pablo hana mfungaji wa maana na ndio maana anamuweka Kagere kwenye kikosi cha kwanza halafu anazingua mashabiki nao wanapata moto wanalalamika kuwa bora hata Mugalu kuliko Kagere.
Mechi zingine anaanzishwa Mugalu anafanya ovyo watu hao wanalalamika bora Kagere. Akiwekwa Boko hivyi hivyo. Yaani rotation afanyiwe Kagere peke yake kwa mapungufu yapi au kwa lipi? Inonga, Tshabalala, Onyangi, Sakho, Kapombe, Kanoute, mbona wameshiriki kila aina ya jukumu?
Wewe ndo umeongea kishabiki, wela odadi ya match/ minutes walizochezaUmejibu kishabiki sana na kupindisha uhalisia. Kagere sio kwamba anafanyiwa rotation kwaajili ya majukumu mengine bali mpaka sasa Pablo hana mfungaji wa maana na ndio maana anamuweka Kagere kwenye kikosi cha kwanza halafu anazingua mashabiki nao wanapata moto wanalalamika kuwa bora hata Mugalu kuliko Kagere.
Mechi zingine anaanzishwa Mugalu anafanya ovyo watu hao wanalalamika bora Kagere. Akiwekwa Boko hivyi hivyo. Yaani rotation afanyiwe Kagere peke yake kwa mapungufu yapi au kwa lipi? Inonga, Tshabalala, Onyangi, Sakho, Kapombe, Kanoute, mbona wameshiriki kila aina ya jukumu?
Soma uelewe kwanza nini kilichofanya Kagere asiwe kwenye kikosi cha mara kwa mara cha kikosi cha kwanza kama sio kushuka kiwango? Kuhusu kupitwa magoli machache ni sawa ni machache lakini unaweza kuniambia katika magoli 7 ya kagere kuna penati ngapi wakati magoli yote ya Mayele hakuna penati hata mojaWewe ndo umeongea kishabiki, wela odadi ya match/ minutes walizocheza
NB: Nilikuwa sijui kama mayele kampita kagere magoli machache hivo
Unaruhusiwa kujibu kwa hoja ili tuone wapi ipo kishabikiKwa hiyo unatuaminisha hii critize yako haiko kishabiki?
🚮 trash/ taka takaSoma uelewe kwanza nini kilichofanya Kagere asiwe kwenye kikosi cha mara kwa mara cha kikosi cha kwanza kama sio kushuka kiwango? Kuhusu kupitwa magoli machache ni sawa ni machache lakini unaweza kuniambia katika magoli 7 ya kagere kuna penati ngapi wakati magoli yote ya Mayele hakuna penati hata moja
Ishu sio kufunga tu, timu inapobanwa unaweza kuamua matokeo ww kama mshambuliaji??Mayele hafanyiwi rotation, kila kikosi ni yeye yupo pale mbele kati, ni kama tu Reliants Lusajo na George Mpole kwenye vikosi vyao vya Namungo na Geita Gold respectively, so wana chance ya kufunga zaidi. Kagere anafanyiwa rotation kutokana na majukumu mengine kama ya CAF CC, so pamoja na ubora wake, chances za kuweka kambani zinapungua. Mechi ya Simba vs Coastal Union aliingia muda mfupi akaweka kambani mawili, moja refa alilikataa kwa sababu ambazo hadi sasa watu wengi hawajazijua
Teh teh sasa mchezaji anaepata nafasi kwenye first eleven na anaekaa benchi yupi mwenye kiwango cha juu?Mayele hafanyiwi rotation, kila kikosi ni yeye yupo pale mbele kati, ni kama tu Reliants Lusajo na George Mpole kwenye vikosi vyao vya Namungo na Geita Gold respectively, so wana chance ya kufunga zaidi. Kagere anafanyiwa rotation kutokana na majukumu mengine kama ya CAF CC, so pamoja na ubora wake, chances za kuweka kambani zinapungua. Mechi ya Simba vs Coastal Union aliingia muda mfupi akaweka kambani mawili, moja refa alilikataa kwa sababu ambazo hadi sasa watu wengi hawajazijua
Hivi hizi akili mnazitoaga wapi,sasa Mayele approve vipi misimu miwili iliyopita ambayo hakuwepo?Kagere ni Bora sana tu kuliko mayele kwa sababu kagere kaprove kuwa mfungaji bora wa ligi mara mbili na mwaka huu bado anafukuzia.. mayele hajawahi fanya hivyo