Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ni timu mbili tofauti mkuu! Hata Balloteli anakaa benchi, lakini sio kwenye timu ya Yanga šTeh teh sasa mchezaji anaepata nafasi kwenye first eleven na anaekaa benchi yupi mwenye kiwango cha juu?