Kagere vs Mayele: Yupi ni bora zaidi?

Teh teh sasa mchezaji anaepata nafasi kwenye first eleven na anaekaa benchi yupi mwenye kiwango cha juu?
Ni timu mbili tofauti mkuu! Hata Balloteli anakaa benchi, lakini sio kwenye timu ya Yanga 😁
 
Ishu sio kufunga tu, timu inapobanwa unaweza kuamua matokeo ww kama mshambuliaji??
MAYELE yuko mbali mno, na ni ujinga kumlinganisha na KAGERE.
Hata Kagere awe kwenye umri wa miaka 25 bado tumemuona sio hatari anapokuwa na mpira na mbele ana beki 2.
sawa
 
Mimi sikuwahi kufatilia ligiya bongo ila ninapenda Sana kuangalia mpira wa ulaya na Ni mchezaji pia wa level ya mchangani huku

Msimu huu nimejikuta tu napenda kufatilia na kuangalia mechi za bongo especially yanga anapocheza Kuna wachezaji wanne wananivutia Sana kuwaangalia nao Ni bangala, aucho, feisal na mayele siipendi yanga ila nawapenda hawa wachezaji wananivutia Sana haswa uchezaji wa aucho Ni mchezaji ambae akicheza Kama hukuwahi kucheza mpira utaona Kama mpira Ni mrahisi mno the way anavyopokea na kutoa pasi anafanya kirahisi Sana nazani mazoezi yanachangia

Kuhusu Nani mkali Kati ya kagere na mayele kwa msimu huu naona mayele wa Moto kagere alikua wa Moto misimu miwili iliyopita ila msimu huu mayele anaogopesha kwa sababu sio tu kufunga mayele Kuna mda anaibeba yanga mgongoni na kuondoka nayo pale wanapokua wamezidiwa mfano mzuri Ni Ile gemu ya yanga na geita yanga alizidiwa mno kila idara ila mayele aliscore wakapata point tatu gemu ya Azam pia yanga walizidiwa mno lakini mwisho mayele aliiamua Ile mechi pamoja na kua hakuonekana uwanjani kuanzia dakika ya kwanza mpaka alipokuja kufunga hivyo mayele asipopata majeraha huu msimu Ni wakwake
 
Mayele ana magoli 12 mzee, afu Mayele anazo assist mzee, unakumbuka ile game ya Polisi kule Arusha??
Mayele ana 11, hilo la 12 alifunga chumbani kwako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Teh teh sasa mchezaji anaepata nafasi kwenye first eleven na anaekaa benchi yupi mwenye kiwango cha juu?
Hili swali Mtu hajiulizi halafu anakuja kusema angalia dakika alizocheza Fulani. Kama ni bora aanze kila mechi. Hakuna mchezaji bora anaweza kuwekwa benchi na Mugalu.
 
Ni kweli Mayele hana assist.
 
Kwani ukisema wee ni shabiki wa Yanga, nani atakushangaa? Kwan wakwanza na wamwisho n wee?

Huyo mayele wenu mbna hajawabeba, au hao wachezaji wako 4 uliowataja mbna hawajaibeba hiyo team yao ktk mashindano ya CAF? Wakaishia kubondwa nje ndani na kufurushwa kwa aibu kubwaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa utulie VAR utaiona livee palee kwa mkapa, Simba hao wanawaletea muione live. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maumivu yakiwazidi mchukuane muwahi pale Mloganzira. Uwiiiiiiih
 
Mayele,Aucho na Djuma hawakucheza mechi za Caf zote mbili.Wangeibeba timu wakati ambao hawachezi hizo mechi?.yangu waanze kucheza unaona mchango wao!
 
Mayele,Aucho na Djuma hawakucheza mechi za Caf zote mbili.Wangeibeba timu wakati ambao hawachezi hizo mechi?.yangu waanze kucheza unaona mchango wao!
Hawana lolote. Basi mkae kwa kutulia hivyoooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawana lolote. Basi mkae kwa kutulia hivyoooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timu imekuwa tia maji tia maji miaka minne.Mambo mazuri yamekuja tutulie!Never....shangwe mwanzo mwisho.
 
Kumbe na nyie mnapendaga historia,mbona mnanunaga mkiambiwa Yanga ni mabingwa wa kihistoria na timu ya kwanza kufika robo fainali club bingwa Africa?
 
Kona ilivyopigwa mpira ulitoka nje ukarudi ndani
 
Kwa ukichoandika tu kinasadiki kuwa mpira haufatilii ni miongoni mwa wale wanaoitwa mashabiki wa timu na sio mshabiki wa mpira.
 
Ilikua makundi sio robo fainali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapoambiwa "na kiingia robo fainali" unaelewaje? Tuanze na somo la uelewa wa lugha kwanza.
 
Kagere mlinganishe na makambo wote wakaa benchi sio mayere huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali
 
Kagere yuko juu hamna namna. Wachunga ngombe watabisha yu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…