Kagoda: Ni Rostam

Sheria zetu pia ni BUTU

Si kweli. Tunazo sheria nzuri sana za kumwadhibu mkosa na kumfundisha. Matatizo yaliyo ni:-

1. Kuwasilisha ushahidi hafifu Mahakamani kwa makusudi ili mtuhumiwa ashinde kesi.

2. Kupeleka mashitaka xa kitoto au yenye upenyo mkubwa sana wa kisheria kwa mtuhumiwa kuchomoka na kushinda kesi. Mf mashauri ya EPA yaliyopo Mahakamani na lile lililokwisha la Zombe.

Hilo tatizo la kwanza linahusika sana na kuupoteza ushahidi kabla ama wakati shauri linasikilizwa.

Yaani hawa jamaa ni hatari, na untouchable

Mzee Mwanakijiji vepee
Mbona Ngosha anampa podium jamaa atambe badala ya kumsweka jela?

Du hili Kaburi kiboko hata sanda haijaoza! Mazingira ya kufanya Biashara yameboreshwa mkuu jamaa karudi!
Haki ya Mungu....kama Mungu yupo!,na kuna siku ya mwisho! Watanzania tutahukumiwa kipekee kwa dhambi ya kutojitambua!

Mzee Mwanakijiji vepee
Mbona Ngosha anampa podium jamaa atambe badala ya kumsweka jela?
Mzeemwanakijiji siku hizi amekuwa si moto wal baridi! Aliingia kichwakichwa kiushabiki mwaka 2015 sasa anashindwa atokeje πŸ˜‹ πŸ˜‹ πŸ˜‹

Nchi inaongozwa kwa ghilba!
Wakongwe huita "magirini"

Mtamtukuza tu nyie niache kumtukuza muumba wangu nimtukuze binadamu mwenzangu kwa kipi

Japo kiusanii sanii, Kikwete alimuweka Rostam Pembeni. Lakini bila tone la aibu wala soni magufuri kamkaribisha Ikulu mchana kweupe mbele ya TV ya Taifa Watanzania wote wakiangalia

Japo kiusanii sanii, Kikwete alimuweka Rostam Pembeni. Lakini bila tone la aibu wala soni magufuri kamkaribisha Ikulu mchana kweupe mbele ya TV ya Taifa Watanzania wote wakiangalia

Sasa hivi mkulu anajenga nchi, siasa za majitaka ndani ya CCM nadhani hazina nafasii

Japo kiusanii sanii, Kikwete alimuweka Rostam Pembeni. Lakini bila tone la aibu wala soni magufuri kamkaribisha Ikulu mchana kweupe mbele ya TV ya Taifa Watanzania wote wakiangalia
Na ukitaka kujua yule Msiba wa taifa yupo smart, mpelekee details zote za Rost tamu uone kama 'atamtetea' Mkulu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…