Kagoda: Ni Rostam

Kagoda: Ni Rostam

Na ukitaka kujua yule Msiba wa taifa yupo smart, mpelekee details zote za Rost tamu uone kama 'atamtetea' Mkulu.
Any way, haya tuyaache, hata Ulaya na America zilijengwa kwa dhulma, damu na gharama za uhai wa mamilioni ya binaadamu. Acha Mheshimiwa aijenge nchi kwanza.
 
Kuna haja ya kila mtu kula vile anavyoweza kila apatapo upenyo, maana huko juu watu wanaila nchi bila huruma!
 
Hivi mahakama ya mafisadi isha hukumu mtu toka iundwe
 
kwel kuna watu wakuheshimika sana hapa JF toka 2006 hadi leo japo nilikuwa na ufaham kidg kuhusu net ila sikufikilia kama kuna forum kama hii, nimeijua vzr JF kuanzia 2012 nikiwa advance, heshima kwenu ninyi nyote mlio lisukuma gurudum toka JF ina anza hadi sasa
 
Wakuu,

Tuliwahi kuweka doc moja ambayo ilikuwa detailed kwa kina juu ya wahusika wote wa EPA na nahisi wengi hawakuigundua section hii. Sasa nimeonelea niziwasilishe katika mtiririko ambao hata ambao hawajajisajili wanaweza kuona wahusika hao na kujiuliza KWANINI hawajachukuliwa hatua. Au wamerejesha? Tutajuaje?

EPA00.jpg

EPA01.jpg


Wamiliki wa makampuni haya WANAFAHAMIKA! Tunaweza kuwataja hapahapa na hata mahala wanapoishi.
FaizaFoxy
 
Kwa maswali ypypote njo kwenye uzi wangu wa maswali, bofya chini hapo, sitaki kuharibu mada za watu:

 
Kwa maswali ypypote njo kwenye uzi wangu wa maswali, bofya chini hapo, sitaki kuharibu mada za watu:

Utaharibu vipi uzi kwa kuweka facts zako?
 
Utaharibu vipi uzi kwa kuweka facts zako?
Zingine hazihusiani na ha uzi.


Si unaona tumetoka ya Rostam tukaingia ya DP World. Lakini ile link niliyokuwekea ni uzi general, kila kitu twende.
 
Zingine hazihusiani na ha uzi.


Si unaona tumetoka ya Rostam tukaingia ya DP World. Lakini ile link niliyokuwekea ni uzi general, kila kitu twende.
Kuna kipengele cha ufisadi kumhusu RA ndio maana nimekuita huku umtetee mtu wako FaizaFoxy
 
RA alihusika na EPA na mtu wa aina hii leo anakuwa eti tochi kumulika ubaya wa mwingine na kuaminisha kuwa swala la Bandari na DP WORLD ni jambo salama tena kwa kua attack mtu personally swala lake la kiimani.
Huyu hata kama ame plant mawakala ndani ya mfumo na kuwaingiza kwenye rushwa ili washindwe kumuwajibisha, tutawasamehe lkn yeye HAFAI .
CIA trained kiwaunganisha hata viongozi kiasi kwamba kabla hujamugusa utawagusa viongozi wetu, hao tutawasamehe yeye sio maana anafanya delibaretili akijua.

Swala la Bandari lina harufu. Maana kuingia mkataba sio vibaya ubaya ni aina ya mkataba
 
Back
Top Bottom